@fatemagdewji: ❤️🦁 MAPENZI YA SIMBA HAYAFUTIKI! Hata baada ya Emmanuel Okwi kuhamia Yanga, mashabiki wa Simba waliendelea kumuonyesha upendo wa kipekee! ❤️ 🎙️ Sikiliza Okwi mwenyewe akisimulia jinsi alivyoendelea kupendwa na Wanasimba! Wanasimba, tuonyeshe Okwi bado tunampenda kiasi gani! ❤️👇🏽 Weka ❤️ kwenye comments kama Okwi bado ana nafasi ya pekee moyoni mwako! 🦁🔥 // ❤️🦁 ONCE A LION, ALWAYS LOVED! Even after Emmanuel Okwi moved to Yanga, the love from Simba fans never disappeared! ❤️ 🎙️ Listen to Okwi share how much that support meant to him. Simba fans, let’s show Okwi just how much love we still have for him! ❤️👇🏽 Drop a ❤️ in the comments if Okwi will always have a special place in your heart! 🦁🔥
malegend wa Simba hawa wametupeleka mpka top 10 Africa 🔥🔥
2026-10-15 22:17:50
12
Bahati Mwaipwisi :
legend
2026-10-15 17:09:24
2
mr_kuweza_tz :
I love simba #nguvu moja
2026-10-15 16:13:40
3
user2316521619283 :
god bless okwi
2026-10-15 17:10:33
2
Chaula01 :
okwi ndo mchezajii alie nifanya ni ipendee simba namkubalii sana Emmanuel anord Okwi
2026-10-16 11:59:42
2
no body :
SIMBA NGUVU MOJA
2026-10-15 19:18:15
1
Thomas Ramaugwa :
Kwa miaka yote nilowai kuishabikia simba!! sijawai ona simba bora ilioifikia nyakati za kina okwi ,boko na kagere. hata ile simba ya kuanzia 2003 - 2005. kina victar cost, matola akilimali yahay na wengine haijaifikia hiyo simba ys kina okwii!!! Naipenda sana simba
2026-10-16 09:13:50
2
Blessed Girl 🏹 :
okwi anaongea kiswahili vzr hadi raha🥰
2026-10-16 05:38:14
1
Ezzy Eddy :
tunaomba simba day ya malagend jaman please wote walioifanya simba mpaka tunafika top 10 ya club Bora Africa tunaomba muwape siku yao kuwe na viingilio maalumu hata uhuru pale fresh tuu
2026-10-16 05:31:42
1
GeofMaster26 :
Mchezaji bora wetu miaka yote Emmanuel Okwi 🦁🫡
2026-10-15 22:18:16
1
Chaula01 :
Bado aijatoka dada fetma
2026-10-16 11:59:02
1
Linus jeniva :
2nawapenda sana na bado mpo mioyoni mwetuuu
2026-10-16 17:25:01
0
T-jazzofficial :
inatupa hamasa saan kuona watu tulio wapenda lakini... ninafikiri nimda wa simba kuanzisha programs za kuwasaidia baadhi ya wale legends mhim kujiendeleza wasomesheni wakawe makocha uko wakiajiliwa wanaldisha mkopo waoo kwasababu nilazma club ipanue mpaka na hilo linaipa heshima zaid #unatupa furaha madam