@vantall75: Chaguaaa 🤣🤣

Van Tall
Van Tall
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 16:16:11 GMT
51022
1403
50
45

Music

Download

Comments

nanahgiftwrap
NanahGiftWrap :
sis Hamida ... Masha'Allah ❤️❤️❤️much love from Moi🥰Bhabi swali gumu ! nikiwa mama boys 😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-17 07:01:27
1
zeynadfqr97
Dada hilwa :
lazima amtaje mama ndio asifeel vibaya we kubali tu mama afurahi nae😁
2026-10-15 19:54:45
23
moseskasidi2
moses kasidi :
Mama ni special,hakuna mother
2026-10-15 20:40:32
6
kidogo60
Lady ❤️ :
ukweli mtu akisema uwongo tunamjuw 😂😂
2026-10-16 02:43:14
11
user9926553962536
user9926553962536 :
jibu kamili ame tumia hikma walahi anatosha kumiliki Bibi 4
2026-10-17 09:24:46
2
hajdin02
Hajdin❤ :
si wenyew tunajua kammic nani😂
2026-10-15 21:50:42
5
mr.fanny59
mr fanny :
hakuna kama mama
2026-10-16 01:02:15
1
fragrance_254
Ummu halim's collection :
MashaAllah,ALLAH atazidi kuibariki ndoa yenu na ampe umri mama mzaa chema
2026-10-15 18:29:38
2
heedasmile
hida :
uyo c bihamida??
2026-10-15 21:36:23
1
ukhtyshahida0
ukhty shahida :
mam ni mam to mke ananafasi yake ❤️❤️❤️
2026-10-15 20:30:13
1
cmba7fazy
Abuu Asma :
sema kaka amejua kubalance. anammiss mamake alafu anammiss mkewe sana
2026-10-16 04:27:59
1
mr.chamber_
Baby-driver😎 :
yani mm na ww tunajua amemiss naani😅
2026-10-16 04:55:17
1
faridezfkmc
Farzana :
safii saana
2026-10-16 10:43:45
1
bryanmoud12
Bryan :
wakwe zangu baba na mama mzaa chema 😅😅😅
2026-10-15 18:08:44
1
xwriweli
jamal :
hakuna mfano kama mama mama ni janna ya dunia anaye jua ni yule ambae akiwa na myaka 2 mamake kafariki😓😭😭😭
2026-10-16 06:21:01
1
dalali_tanga_mjin
DALALI TANGA MJINI :
2026-10-16 06:59:31
1
user8230473058867
user8230473058867 :
Mashallah 🥰
2026-10-16 04:49:34
1
mama.ab37
mama ab :
hahahahahhaa hassan kwa mamake humuambiii kitu toto la maaaa🤣🤣
2026-10-15 18:38:07
2
hassanmzenji26
Hassan Long26 :
mama tuu usifananishe na ta nyengine
2026-10-15 16:24:33
1
quinn.333xx
queen :
Sasa umemuambataa hivi ndio akuchagua
2026-10-16 11:36:15
1
user69416099815270
sofi :
kwahina hizo hammis mama ake atasiku Moja ila anauwa soo🤣🤣
2026-10-16 10:37:02
1
umar.ibn.khattab27
umar ibn khattab :
Dada mwanzo jistiri
2026-10-16 05:57:29
0
jathmoh
jath :
Lijanaume litapeli 😂
2026-10-17 12:06:32
1
jamilamursal33
Jamila S. Mursal :
🌹🌹🌹
2026-10-17 00:46:00
1
chimamyinbox12
ummurayyan :
🥰🥰🥰
2026-10-15 21:43:52
1
To see more videos from user @vantall75, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About