@basa_kuku: #breakoutanalysis#candling#totexhatch#vifaranga

BASA KUKU☆☆☆
BASA KUKU☆☆☆
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 16:30:38 GMT
46741
488
31
60

Music

Download

Comments

frankyusuph629
F&R KUKU FARM :
mimi hiz mashine nilizikataa natumia kuku tu, nina kuku 800 na wote nilitumia kuku, hua nina majike 20 special, nawapa mayai 15 kila kuku, na wakitoto ninawadable, yani kuku anaatamia mala 2 na vifaranga nawalea mwenyewe kwenye taa na mkaa,
2026-10-16 18:53:00
4
animater.official
weak Hero.. :
anlysiss yako ujatoa sababu ya matokeo hayo kwanini yamefail
2026-10-17 16:41:54
1
user9233173370667
user9233173370667 :
mimi lcubeta yangu inachukua mayai 120 nanikiweka mayai 120 napata vifaranga 10 mayai mengi nakuta viota manyoya lakini vimekuva shida ni nini jamaniiii
2026-10-18 04:14:28
1
livestockconnecttz
Livestock Connect Tanzania :
kwenye kipengele cha clear Eggs kwanini yawe kwa idadi kubwa kwenye breakout analysis? hakufanya candling wakati ana transfer to hatcher?
2026-10-15 20:54:51
2
endbakehouse
E&D Bakehouse :
Nimetoka kutupa mayai 90 niliweka 92 nimepata vifaranga viwili na sijajua shida ni nini but nitafanya tena hopefully nitapata wengi zaidi
2026-10-16 04:09:47
1
user2928352231577
user2928352231577 :
mimi pia hiichangamoto ilinikatishatamaa
2026-10-16 10:24:39
1
omary.hamza
Omary Hamza Incubator Dar :
Asante kwa elimu nzuli
2026-10-16 18:34:24
0
ommy2710
ommypoultryfarm :
Hiyo break out analysis haina vitu muhimu mfano ni kitu gani kimesababisha hayo mayai kuto kutotolewa je ni hayana mbegu au na kama yalikua nayo issue ni simple tu afanyie mashine callibration na pia kama mashie haina matundu ya hewa ya oxigen aweke atapata matokeo ila kikubwa ni callibration
2026-10-16 17:33:08
2
deofurniture908
Deo Furniture :
Ase me nimezima mashine jana to yani upande wangu vingi vinafia mwishoni atakam nikiweka joto 35.5
2026-10-16 18:18:02
1
giftsleonard
Money 💵💵💵💵 :
naomba tuelekeze
2026-10-16 07:30:52
1
masebo.real.estat
Masebo Real Estate :
Masebo real estate, tunajiusisha na uhuzaji wa mashamba kwa matumizi ya kilimo na ufugaji, karibu sasa na wewe umiliki mashamba, mashamba yapo PWANI KISARAWE.
2026-10-17 18:16:40
1
more.poultry.farm
More Poultry Farm :
Kuku na bata ni miongoni mwa mifugo yenye faida kubwa sana ikiwa utaamua kuifanya kwa umakini. Nawapenda sana hawa ndege 🔥🇹🇿
2026-10-15 19:40:27
3
i.am.isc
Isc :
utafiti mzuri 1. Ubora wa incubator renewed 2. Setting za incubator yako mwanzoni na mwishoni 3. Ubora wa mayai (kabla ya siku saba yanakuw uhakika na yawe na mbegu ya jogoo, yai halina crack nk) 4. Kufatilia mayai ndani ya incubator siku ya saba mpka walau 10 kwa tochi kujua kama kifaranga kimeanza kutengenezeka kwa kumulika na tochi kuangalia mishipa 5. Kama hamna mishipa toa tu hayo mayai ukauze hayatatotolesheka 6.Umakini Wakati wa kutotoleshwa kuwa makini kuangalia sababu za juu kuepuka hasara
2026-10-17 01:31:40
1
To see more videos from user @basa_kuku, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About