@hubofwisdom.inc: “Nawaomba, hata kama una kazi make sure unatumia hiyo kazi kutengeneza biashara.” Anasema Mwl. Cosmas Madulu akijibu swali kuhusu mtazamo wa fursa za ajira kwa Vijana Katika mazungumzo yetu ndani ya @book.club.11 kuhusu kitabu cha ‘Mindset’ cha Dr. Carol Dweck, tuligusa hoja nyingi sana zenye nguvu 🎙️ Mjadala huu unaweza ukautazama/ kusikiliza soon kupitia Hub of Wisdom kwa njia ya YouTube au fatilia baadhi ya vipande vya mazungumzo yetu hapa @book.club.11 ili tukushurikishe tulichojifunza —— Read it, Love it, Share it! #BookClub11 #Mindset #Thewisetz