@fimbo05: #MIKOPO HESLB 2026 #heslb #fresher2026 #tanzaniantiktok🇹🇿 #elimu

Dr.Fimbo
Dr.Fimbo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 17:03:32 GMT
11318
409
30
50

Music

Download

Comments

babe.q0
𝑱𝒂𝒚_𝑬𝒏💫🥂❤️ :
Anae taka kujoin group la first year TIA 2026/27 karibu🥰
2026-10-16 06:46:41
0
ibrahimomarry
ibrahimomarry :
wa verification passed tujuane
2026-10-15 21:11:06
14
octoberbaby1303
Ree😘🧸✨ :
jamn tuangaliane na sis continuous tunateseka😭😭
2026-10-16 08:34:04
0
antony76164
rock son :
Me account yangu bado imenuna.😥😥
2026-10-16 10:00:39
1
user2948843515630
msami_jamila :
Jamani mm mwanang pia inaandikaaa hivyo hivyo Jamani asipo pataaa nimekwishaaaa mm haman chuo tena 😭😭😭
2026-10-16 05:28:03
1
eneandedea
Enea Ndedea :
ko ambao atujapata tuchelewe????
2026-10-16 06:00:23
0
bahatimkwizu0
bahatimkwizu972 :
jamaani diploma must hawajapata mkopo hii imekaaje
2026-10-15 20:49:37
1
esternjobo
jewel girl :
kam umepata mkopo alafu unatak kuama chuo mkopo utapata kam kawaida jaman
2026-10-16 12:46:53
0
user8419842755970
sofiety the first :
kama umepata AF ukaendà mwakan inakuàje??
2026-10-16 11:58:41
0
user505835951
N,yer :
na vipi kuhusu Sisi continous
2026-10-16 12:39:58
0
johanescyriacus71
JC officiall 🇹🇿 :
Ambao hatujapata inakuaje
2026-10-16 09:37:25
0
annastazia.andrea7
Annastazia Andrea :
ambao hatujapta mnatusaidiaje sas
2026-10-16 08:52:32
0
prettyg583
Aiem aggie💗🇹🇿 :
Jmn mkopo Naombeni mwaka Jana nimekosa na mwaka huu jmn kuweni na huruma basi maan ipo passed
2026-10-16 10:08:36
0
minah.ghera
Minah ghera :
natamn ñiende huko huko makao makuu 😭😭😭mdogo angu ndo to zake zinaishia njian kbs bila mkopo hakuna kusom
2026-10-16 10:59:17
0
To see more videos from user @fimbo05, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About