@fraverofficial: MUNGU NDIO MANA ANAMBARIKI SANA HUYU JAMAA KILA SIKU ANASAIDIA WATU ASEE #fravercever #fraver @BADSON.74

fraver official
fraver official
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 17:15:12 GMT
75191
5785
619
101

Music

Download

Comments

stera.joseph
Cute Stella :
kaka mkoa gani apo
2026-10-16 01:44:57
23
user7526192954982
precious :
walio toa machozi kama mimi tujuane
2026-10-15 18:38:00
192
rahmakhamissrahma
Rahmakhamiss Rahma :
Ambao tuna machozi ya karibu tujuane
2026-10-21 09:48:22
58
kijiweni6
kijiweni :
ivi serikali iko wapi watu wanalipwa elfu 3 dah unaweza kukuta tajiri anapata faida mara kumi Dunia hii elfu 3
2026-10-16 00:27:10
14
0093op2
Kasongo :
utapata baraka nyingi bro.hao wote watakuombea Kwa Mungu
2026-10-21 05:38:19
21
lucysamwel4
Lulu🦋🦋 :
MUNGU aendeleeee kufungua milango yake ya mafanikio ameen🙏🙏
2026-10-15 17:23:46
44
user3339162488423
alvina :
eee mungu unajua jins navyo penda kutoa, naomba sikumoja nitoe zaidi kwa wasio jiweza😭😭
2026-10-16 07:53:17
24
hussein.alfredy.m
(H) :
kunawatu wanateska san broo ongela san mungu atakubariki san bigapu san achan naviongoz wetu aonndo wanaongoza kutesa wananchi wao 😭😭😭😭😭😭
2026-10-15 17:32:55
9
user038503388
Matilda :
mungu wambinguni akakufungulie milango ya baraka kama maji yanayotililika bondeni ukabalikiwe mpka ukashangae mungu kakushangaze akakuinue katika viwango vya juu akakupe uzao bora nao ukatembee katika baraka zako akakuepushe na mipango ya shetani kila njia atakayo tumia kukuangusha akavunjike vunjike mala saba kila jicho lahusda likapofuke kwa jina la YESU KRISTO roho za magonjwa zikapepeluke mbali na ww afya na furaha ikawe ni maisha yako adui akija kwa njia moja akasambalatike kwa njia saba kikao cha uwovu juu yako kisifanikiwe wasije kuelewana wakachanganyikiwe AMEEEN🙏🙏🙏
2026-10-16 09:24:59
7
nissarchadema
Nissar Chadema :
hadi nimelia jmn
2026-10-16 10:39:07
7
bm68849
Bm :
aisee Mungu amkumbuke mama yako!! ubarikiwe
2026-10-15 19:06:59
7
jack547644
dumbiya family 🇹🇿 :
Mm nimtot wakium ila nimetoa machoz ow Ina umiz xan
2026-10-21 16:47:48
3
user6974623079408
Rosemary :
we kaka umeniliza 😭😭 nataman hta mm mungu angenipa uwezo napenda kusaidia wahitak
2026-10-16 08:14:34
7
neemakiwia
Neema Kiwia :
Kaka mwenyez MUNGU akupe kila kitu unachotaka kwa wepesi sana! Amina Ubarikiwe sana Mimi mpk nimelia kwakweli mwenyez MUNGU akuone akuwekee mbele nimejikuta nafurahi Nimeona nikama umemsaidia Yule mama yangu Barikiwa mno Brother 🙏🏻😘
2026-10-15 21:22:41
3
zinnaty.alliy.chi
Zinnaty Alliy chillu :
da nimelia kwakwel bwana yesu akuzidishie palipo pungua.
2026-10-16 11:01:21
3
ummujaafar025
ummujaafar :
Nimefurahi mama Alivyo mkumbuka wengine Alisema msiache kusaidia wengine piya😭😭
2026-10-16 06:08:03
5
lucyernest2
Lucy Ernest2 :
Mungu tunza matumbo yaliotuzaa 😭😭
2026-10-16 19:23:55
2
jack547644
dumbiya family 🇹🇿 :
Nimm lazim tujuan
2026-10-21 16:46:31
1
tanzaniet1
Tanzanaite 1 :
Mungu akuzidishie kaka pale ulipoponguza [Pray][Pray][Pray]
2026-10-15 17:48:27
2
mimah6611
Kimberly♌️🦋 :
Tumbo la mama lilim bebaaa huyu kijanaaa libarikiwe milele broo hongeraa mnoo kaka 🥰🥰
2026-10-16 05:45:46
2
smart_bei_poa
SMART BEI POA :
Huwezi elewa hii situation kama hujawahi fikwa na matatizo changamoto ambazo nimungu pekee unamuachia afanye atakachoamua juu ya maisha yako yani sina chakusema ila mungu aendelss kufungua milango ya rizki kwako kijana
2026-10-15 17:52:06
4
user3471306731321
Luku pede :
kk mungu akubaliki San Aiseeh, wapo wachache mno wenye roho mzur kama yako🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-10-16 07:51:59
2
mom.dylan..tz
Mom🦋 dylan..tz🫂❤️🥰 :
uyu kaka amefanan na x😁 wangu nilijua yeye mweeh ubarikiwe sana kaka 🙏
2026-10-17 23:10:30
1
hawaijumba633
hawaijumba633 :
mwe kaka angu mungu akupe zaid
2026-11-02 11:28:34
1
use..kyline
use..kylin💞💞 :
ubarikiwe we kaka jmn
2026-10-16 03:34:54
1
To see more videos from user @fraverofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About