@ali.faza:

ALI FAZA
ALI FAZA
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 15 October 2026 17:16:00 GMT
5410
494
26
80

Music

Download

Comments

shebbydaddy06
Shebby daddy :
Elimu kubwa mwalimu
2026-10-15 17:45:30
2
muhammad.shekolow
Muhammad Shekolowa :
tumekuelewa lakiniii, kama maswahaba walitofautiana je utofauti was maswahaba ulikuwa katk uelewa au ulikuwa katka mazoea au ulikuwa katka uwepesi was jambo?/ na je sisi twatofautian kimazoea au kiuelewa au kiuwepesi wa jambo, maswahaba walitofautiana kwa uwepesitu wajamb kwamb kufanya hiv kwang ndo wepesi tofaut na tofauti hii bas ujue mwatofautian katka baatwil
2026-10-16 12:19:47
1
umeim2
umeim2 :
KILA CHA TAUHIDI INA MAANAYAKE
2026-10-15 20:12:02
1
abuu.farhan3
Abuu Farhan :
halaf kwa mfano nlikua siko katika haq hatima yangu ni ipi??? na tofauti unayoangalia ni ipi hiyo
2026-10-15 18:06:41
0
abdallahalisalim
abdallahalisalim :
na myje ikiwa hayo 100 ni makubwa zaidi na yenye kuharibu dini kuliko hayo milioni dey itakuaje?? mbona tubakishe mambo fulani etty lazima kua hilafu wakati tuna uwezo wa kuifata dini yote kama ilivyo kuja kwa mtume na kupokelewa na maswahaba, taabiin na atbai tabiin ambao mtume alitaja katika hadith sahih kua ndio karne3 bora
2026-10-16 07:57:41
0
khalfein
waliyyulla990 :
ukweli ka huo ndio hawautaki na sikua hawajui wanajua vzr sanaa Ila alozowea kufitinisha ht ukampa dalili vitabuni haez kubali
2026-10-27 10:10:17
0
user77860765226352
user77860765226351 :
astaghfirullah
2026-10-19 18:57:00
0
mana.ilham7
Mana Ilham :
wao wanafundisha hajakuambia uwe nao
2026-10-22 11:38:06
0
bambammambruagency
BAM BAM :
mashalla ♥️♥️♥️👍👍👍
2026-10-15 18:09:07
1
abumurshid94
Abumurshid :
Hatuezi kua salafi ssi sote huo ndio ukweli
2026-10-16 20:40:47
1
kassim_19
Kassim 19 :
@Kassim 19:Watu wenye elimu na hekma ndo wanaongea hivi sio wale masheikh wengine kuwaita wenzao makhurafi
2026-10-16 14:07:20
1
mohamedtyson313
Moحd Tysوn :
Mashalla hapa sikuskia akitaja kejeli wala matusi
2026-10-16 12:35:31
0
ibnubaazabdulaziz6
ابو عبدالله محمد سعد :
ikiwa hatutofahamu kupitia ufahamu wa maswahab kitu gani kingine wataka isipokuwa upotoshaji
2026-10-16 14:52:12
0
chaka0919
chaka :
daawa nzurii hiii
2026-10-16 09:15:34
0
muna.bhai573
Muna Bhai :
Allah Barikly Fiiy
2026-10-15 19:28:10
1
kidishiwapili02
Kidishiwapili :
Dawa tawhid Quran na Sunna ndio sahh
2026-10-16 10:51:06
1
alluma375
أبو ياسر5 :
Tume lazimishwa kufata kitabu na sunna wakati ikhitilafu imekuwa nyingi Na tume ambiwa tukizozana katika jambo tulirejeshe kwa Allah na mtume wake na tuwe na utiifu kama walivyo maswahaba katika utiifu qur ani na sunna Ikhitilafu ni adhabu sio rehma
2026-10-16 19:43:42
0
abuu.hurmuz
abuu hurmuz next :
اتفقنا على أن نتفق
2026-10-16 10:44:55
0
ismail.bwana
Ismail Bwana :
mm kuanzia leo sikuiti tena shekh
2026-10-17 07:01:50
0
abuumohamed749
AbuuMohamed :
manhaji sahihi ni manhaji swahaba ndio pote sahihi la poponi...mengine 72 motoni..sufi.shia.ashairah.tabligh.hizbutahrir.ikhwanum muslimu.quraniyun.jahimiyah.
2026-10-16 05:30:14
1
darmakka
Kareem :
Sasa akhi usipofata salafi( rasul na mas,haaba) wafata nini Wacha kupindisha haqq ngoja kwa hii clip tutakuweka sawa acha kupotosha watu.
2026-10-18 06:58:38
0
ali.seif.salami.a
Ali Seif Salami Al Riyami :
MIMI NAOMBA DUA KILA SIKU ALLAH ANIWEKE MBALI NA HII KENSA YA UMMA UWAHABI (USALAFI BANDIA)
2026-10-16 06:25:51
1
To see more videos from user @ali.faza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About