@ali_wisdom: Ijumaa Mubarak. 🤲🏽 Katika Ijumaa hii tukufu, tunakuomba Ewe Mola wetu, uzirehemu roho za wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki, wale ambao bado tunawakumbuka kwa upendo na kuwakosa kwa uchungu. Wasamehe madhambi yao, waangazie makaburi yao kwa rehema Zako, na uwajaalie makazi mema katika Jannatul Firdaus. Wameondoka duniani, lakini kumbukumbu zao zinaishi mioyoni mwetu. Ewe Mola wetu, usiwanyime rehema Zako, kama ambavyo sisi hatujawasahau katika dua zetu. Aamiin Yaa Rabbal ‘Aalamiin. 🤍 #creatorsearchinsights #jummamubarak #viralvideo #foryou

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 17:23:15 GMT
5791
642
9
98

Music

Download

Comments

fey0000006
Fey🥰🧿 :
Amiin..Mwenyezi Mungu amrehemu baba yangu ..ampunguzie adhabu ya qabli 🥺
2026-10-15 18:57:47
1
zeinab21502
Zeyno...S 💫🎀🩵 :
AMIIN
2026-10-15 19:03:36
0
zulfakiswili
zulfakiswili :
Amiin yarraby
2026-10-15 19:24:51
0
itsfally_007
It's Fally :
Ameen
2026-10-15 18:56:23
0
mammy.jay89
#mammy jay🥰 :
Ameen Allahuma 🤲
2026-10-15 18:47:32
0
ashimunaswahibu
ASHMARAy🥰🥰🥰 :
amiina
2026-10-15 19:35:30
0
kidstarking
hamy store :
akhui @ali_kim jumagha mubaraq kwako pia akhii..... YA RAZAQ atakabali dua hii allahuma amin 🤲
2026-10-15 17:26:49
2
user17616800918101
user17616800918101 :
🙏
2026-10-15 19:50:23
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About