Wao wamesema hawataki Haki
Raisi wao kazi yake ni kuzurura tu na kutumia haki zetu za kutudhulumu
2026-10-15 18:32:40
20
Terebina03 :
Mlipaji Allah Na wallahi Dua ya mwenye kudhulumiwa harudi. Ameen Allah atalipa inshallah
2026-10-15 20:27:19
22
LUCA Mundhir..🗨 :
hii nd elnino enyew ss😅
2026-10-15 20:33:20
4
Mohammed Salum Hamad :
ardhi mali ya serikali, maendeleo kwanza
2026-10-16 05:32:42
3
fahadmohd :
Watoto wangu bdo wachanga nawasalimu tuu🤣🤣🤣
2026-10-15 18:54:55
7
nameless🇧🇳🇹🇿🇰🇷 :
Hawa serikali hawa kwa Mungu wan chakujieleza moton moja kwa moja
2026-10-15 20:13:26
11
user7618872753045 :
yan hii nchi imekua tafran t
2026-10-15 19:26:06
10
Nuraysha Jengo :
maisha tulonayo kiongozi kupata rehma za mungu ni tafrani kweli
2026-10-15 21:06:56
10
🥀Arajha'12🐝 :
poleni
2026-10-16 04:03:35
0
Saleem Hemedy :
they dont care about us (Juja)
2026-10-15 19:45:19
5
usama_lion | Developer :
muhimu kila mtu atakufa bc, hakai mtu milele
2026-10-15 20:40:35
5
Ali Humoud :
SUBHANAALLAH…ALLAH ATAWALIPIA INSHAALLAH🙏
2026-10-15 17:47:53
9
salumhaji869 :
wasomeni dua
Allah yupo atawasikia
2026-10-15 19:07:00
9
Salim Salim Muhammed :
Allah atakulipieni yana mwisho mama 🙏 Allah anaona
2026-10-15 18:22:17
9
Serhanmumba :
ardhi mali ya Mungu lakini serikali inasema ardhi mali yake kila mtu atakufa na ardhi ataiacha
2026-10-16 18:41:03
0
Muratty :
Mkuu wao anajua, wanajua wanacho kifanyaa wameamriswa na mkuu wao uhakikaa, ingawa yeye anasema asidhulumiwe mtu ila nahisi ni maneno tu hakuns chochote
2026-10-16 20:08:54
0
Hamid Juma :
Mali yaserekali Mola wako ndivoo alivokwambya ivoo au
2026-10-16 17:49:55
0
my Love 😘💞 :
wazawa hatuna haki!
2026-10-17 02:22:16
1
Nana butterfly 🦋 :
Mlilieni Allah 🥺🥺🥺 halali wala hasinzii na wala hadhulumu yeye
2026-10-16 19:16:37
1
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm
homepage.