Kuna mtu alisema makanisa yamekuwa madalali mchungaji kuchuma kwa waumini waumini kulala njaa
2026-10-16 05:48:44
5
EV. PONTIAN :
kauli ya dharau sana!!! sisi ambao ni MASKINI jeuri hatufurahiii hayo
2026-10-16 15:55:56
2
GodfreyTowo :
sasa siupe bure kwanini umuuzie tena
2026-10-15 19:28:20
6
Rayani patrick :
Baki nayo mwenyewe
2026-10-17 10:40:24
1
kendrick_250 :
Wanunua magari nao vigelegele vingii [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 06:04:07
7
prisca@ :
mungu ametupa baba mwenye hekima sana mungu akutunze baba yetu hawajui ulicho nacho
2026-10-16 13:36:53
2
Mosee Tz :
Efatha Sihami Mungu Ametupa General Mwingila Hekima nyingi Sana
2026-10-16 04:46:13
5
@agnes juma :
umezitoa wap hizo gari
2026-10-16 06:35:56
1
Abdully04 :
Nachagua lc300 kwa laki mbil na nusu
2026-10-16 09:48:42
1
user5253719526594 :
sifa mchungaji yann Sasa
2026-10-16 11:01:07
1
brightonntare :
Laki nane😅 tajiri
2026-10-16 11:24:39
1
OMBENI MALAKI MOROGORO :
Dharau hizo
2026-10-16 07:57:17
1
masterken.tz :
makanisa jaman kanisa la mungu tunaelekea wap
2026-10-16 08:16:19
1
S - H -A-N-A 🥷💥 :
anakuja mwenywe Au
2026-10-16 08:40:09
1
bs :
Mungu tupe hekima Tu na Mungu tubariki ili tuwatunze wazazi wetu kunalugha zinatuumiza🥺.
2026-10-16 11:00:07
2
Francis Mroni :
na waumini wanapiga makofi hspo kuna waumini wanafikilia wakitoka kanisani waende kutafuta chakula cha familia na hawana uhakika wa kula wanachopenda bali wanakula ili waish
2026-10-16 15:40:13
2
dorkas mbuba :
magari yote ayo jamani kwanini asisaidie watu wengine wnalala njaa kuna wagonjwa nk ila jamni ndo maana yesu akasem ni ngumu tajiri kuuona ufalme
2026-10-16 08:13:59
3
@miss G :
kauli aliyo tumia kwa baba angu bendera sija ipenda kabisa
2026-10-16 09:17:04
4
To see more videos from user @10empiretv, please go to the Tikwm
homepage.