lascouh umefanya niwaze sana mwanang,hii ndio maan ya gentleman think out the box 💯💯
2026-10-16 07:26:03
3
VERIFIED WISDOM💔 :
Appreciate 📌🔥🔥🔥🔥
2026-10-16 08:49:51
1
swaum :
Mm nikifaa nimekufaa sitajijua km nilivyo kuwa sijazaliwaa
2026-10-16 04:57:35
4
Florance :
Umeongea kinyume
Ufunuo 6:9----
Mwanakondoo alipoufungua muhuri wa tano, niliziona baadhi ya roho za wale waliokuwa WAAMINIFU kwa neno la Mungu na kweli waliyopokea zikiwa chini ya madhabahu. 10 Roho hizi zilipiga kelele kwa sauti kuu zikisema, “Mtakatifu na Bwana wa kweli, ni lini utakapowahukumu watu wa dunia na kuwaadhibu kwa kutuua sisi?” 11 Kisha kila mmoja wao alipewa kanzu ndefu nyeupe. Wakaambiwa wasubiri kwa muda mfupi kwani bado walikuwepo ndugu zao katika utumishi wa Kristo ambao ni lazima wauawe kama wao. Roho hizi ziliambiwa zisubiri mpaka mauaji yote yatakapokwisha.
2026-10-16 13:03:21
2
user5699204181812 :
yaarab mungu tupe mwisho mwema
2026-10-16 19:22:09
1
carry❤️cameron :
over thinker
2026-10-15 17:41:39
4
sumayya.seki :
ninacho jua me nikifa ap nazaliwa mzungu mmh hunamby kitu
2026-10-15 18:00:10
5
lynn262 :
Well said🥺💯
2026-10-15 17:57:45
1
Amigo :
Ukitumia emotions Ushauri ni mzuri Ila logically ni stor za abunuas
2026-10-15 17:48:32
4
✨🌸Trina 🌸✨ :
daaah umenigusa kaka yangu🥺🥺🥺🥺
2026-10-16 15:46:37
2
Ambaswile Fx :
kweli kaka
2026-10-15 17:38:24
1
Elly deeply art painting 🎨💯 :
huu ukweli... haina come back
2026-10-15 17:37:51
2
darklessnuru :
so kwel broo wewe umejuaje?!
2026-10-15 18:03:26
1
🍁🍂Qawthar 🤎🍂 :
hakikaa
2026-10-15 17:41:21
1
Mrs y 💘💝 :
2026-10-15 17:47:04
1
last born :
lascoh samaan we ni muslim ?
2026-10-15 18:35:32
0
Mom Alvis 👩👦 :
Ukweli mpk moyoni.huu
2026-10-16 18:17:07
2
tinna :
miwani yako inanitishaa
2026-10-15 19:13:45
1
@Daylan...virgo♍ :
tunabdrk kak....shetan ndo kkwazo
2026-10-15 17:57:15
1
Sarah Komba :
😂😂😂
2026-10-15 19:26:12
1
To see more videos from user @heislascouh, please go to the Tikwm
homepage.