@millardayo_: Msanii wa Muziki kutoka Tanzania, Malaika Gray amesaini mkataba na Kampuni ya Africori, iliyo chini ya Warner Music Group ikiwa ni hatua muhimu katika safari yake ya muziki kuelekea Soko la Kimataifa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 15, 2026, Malaika anatarajiwa kuachia wimbo wake wa kwanza unaoitwa My Fever, aliomshirikisha Msanii wa Bongo Fleva, Marioo, Oktoba 30, 2026. Wimbo huo umeandikwa kwa ushirikiano wa Malaika na Marioo, huku utayarishaji wake ukifanywa na Producer Abbah Process ambapo wimbo huo unachanganya mitindo ya Afrobeats, Bongo Fleva, R&B na Pop, huku video yake ikiongozwa na Joma na kurekodiwa katika maeneo mbalimbali ya Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 17:33:36 GMT
45769
1753
19
8

Music

Download

Comments

gabinhosancho10
The best_10 :
warner ya gunna au
2026-10-15 21:31:20
0
black_queen2282
😊 Royal girl🌸🐱 :
jamn ni macho yangu ama na nyie mumeona wasanii wa hiyo label😳😳😳
2026-10-15 19:17:32
4
ginga.boy69
ginga boy :
malaika ni mdada ambaye hukua smart sana sababu yeye na dada angu wote ni wadada😂😂😂
2026-10-15 17:41:29
12
_micielo5
cielo 😋🥰 :
[Perfect score]
2026-10-15 17:36:01
0
mtotowasanane
Glow kayla✨️ :
haya tuhusu
2026-10-15 18:43:52
6
nicholausodeni4
NICHOLAUS Odeni :
Big dream
2026-10-15 17:37:47
1
samodiso
Fashford queen 👑👑👑 :
ndo wapi huko warner music
2026-10-15 18:03:11
5
joycekalole
joyce kalole :
haya mungu amtangulie ktk kazi yake ya mzk
2026-10-15 17:38:01
2
mrmohd26
MOH_KIX✨🗿 :
wakucoment mko wap
2026-10-15 17:37:08
1
rose.bab05
rose bab :
nimekuwa wa kwanza😁
2026-10-15 17:44:58
1
agness.maendeleo
Agness🥰 :
Sawa malaika
2026-10-15 22:32:26
0
lakishtone5
lakishtone 🔥♥️ :
kwani harmonize anasemaje 😁
2026-10-15 21:10:19
0
userstar082
star :
sawa asante kwa taarifa
2026-10-15 21:12:43
0
chapter16._
chapter16._ :
Kwann
2026-10-15 17:40:02
0
agnes.marko4
Aggie collection 🦋 :
KWAHIYO ?
2026-10-15 19:58:51
0
wema103
Her era🤍👅💝🍃☘️⚡️💫 :
2026-10-15 17:37:26
0
alyde_official1
꧁🔥𝑨𝑳𝒀𝑫É🔥꧂ 👑🔥 :
wakwa
2026-10-15 17:35:51
0
suleman.rajab
Suleman Rajab :
hii nayo ni kubwa kuliko
2026-10-15 19:27:55
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About