@mwanachuofamily: WATU wengi wanahitimu lakini hawajui wanaenda wapi🥺 #vita #trending #fypシ

Mwanachuo🎓
Mwanachuo🎓
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 17:36:58 GMT
62334
4675
132
92

Music

Download

Comments

damadee9782
DAMA-DEE🥷🏻 :
course hiyo uliyosoma huwezi kukosa ajira👍🏻✊🏻
2026-10-16 05:12:08
92
abubakarsulg
Sul G :
huyu ndio kaongea ukweli mtupi yan
2026-10-15 19:00:07
214
zumaudaku
Zumaudaku :
Mwanachuofamily Ujuwe wewe una vitu vyangu
2026-10-15 22:48:14
2
koku374
cokug❤️ :
cha kwanza kuhitimu Mengine Mungu atafany kwa ukubwa 🙏
2026-10-15 17:48:40
72
xymera09
Xymera :
Mungu mfanyie wepesi huyu bro
2026-10-15 22:10:03
52
phinitech1
phinitech1 :
Uyu ndio mwenye akili wakwanza niliyemuona
2026-10-15 21:58:20
32
kinshommie_
kinshommie_ :
Hii nchi wasomi tuko wengi mno tofauti na zamani taabu ipoo
2026-10-15 17:42:20
26
phili1234560
Philipo H :
architecture 🙌🙌🏼🙌🙌🙌🙌🙌💪💪💪
2026-10-15 19:15:48
12
officialstar...zy
🏬arcStar🎙️ :
Hongera sana kjan.. kaka ww hujui mungu pekee ndy anajua stay focus
2026-10-15 21:14:17
12
user8347552785422
gee roisly🦋❤️ :
ni mzur hyu mkak jmn😂🙌
2026-10-15 18:56:22
14
juma.nyasama
Juma Nyasama :
Asiseme watu awajui wanaenda wap aseme mimi sijui ninaenda wap ilo ndio kosa tunalo lifanya kujilinganisha
2026-10-16 05:44:06
9
chrisofficial_08
CHRIS :
dah huyu jamaa kaongea point San yani,huyu hajataka kujiproud kuwa kamaliza udsm na yeye ni bora kuliko wenzie ila kaongea ukweli 🙏🙏
2026-10-15 21:56:14
6
user30847603800124
fanuel :
Kuweni tayar kukutana na kile mtakacho kikuta mtaani, kila kitu hatua sio wote tutaanzia juu, tuanze ni kidogo kilichopo kutengeneza imani ya kikubwa hapo badae💪🏾
2026-10-15 21:08:31
7
mosses_5
Mosses ⚠️ :
KILICHOTOKEA NDICHO KINAJIRUDIA
2026-10-16 03:36:47
3
itsjoie3
Joie de virve🦋 :
🥺ukweli mtupuu mm nmeanzaa mapemaa nombeni kazi😭🙌🏻
2026-10-15 21:56:53
4
latyushka
Yushka :
Allahuma Barik
2026-10-15 20:50:35
3
zys000616
🇹🇿.....✍️🇹🇿 :
Ningekua na uwezo kaka ningekuajiri kaka hakika umenena...... sio kama wale raia wa Bira million 5 sifanyi kazii
2026-10-17 02:26:13
2
jack_macha09
jack😍 :
karibu. mtaaani
2026-10-15 18:13:30
3
kassim.muya
kassim muya :
God bless you Allah akufanyie wepesi
2026-10-15 20:57:09
2
tractianny
tractiana_🦋.🌸.🎀 :
yaaan huyu ndo mwanachuo niliemuona anaakili atar❤️
2026-10-16 14:42:58
2
user2481147678847
whale🐋 :
wengine hapa wengeanza yaaanii mim sijui nimesoma sijui wapi uds siwez kukosa kazi kumbe moyon anashengesha la maisha
2026-10-16 11:56:33
1
asmababyworld
esmahan@ally :
nimempend
2026-10-17 07:20:57
1
virah.bera
virah bera :
huhakika bro ucwaze maish hayo yapo tu ni ya muda
2026-10-16 18:37:24
1
passionate.achaly
Passionate Achaly :
dah we kak mung akutangulie wew ni mwanaume kamili i wish you all the best
2026-10-16 20:47:13
1
gifty.nnies
Gifty @nnie's :
nmekupenda sana bro unaelewa san uhalisia wa maisha naombea kwa mungu awasaidie wale wote wasioelewa wanaelekea wap
2026-10-16 10:03:04
1
To see more videos from user @mwanachuofamily, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About