Just imagine losing a wife while a daughter is only 1moth[Crying], my current situation[Crying]
2026-10-16 17:11:45
0
جميلة :
painful wallai
2026-10-16 14:31:11
0
JRS STORE ELECTRONICS :
sadness 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-16 14:46:16
0
BUNYONYA MADINI :
Mungu ampe faraja ya milele huyu mtoto na ampe maisha mazuri kadri ya apendavyo Mungu🥲🥲
2026-10-16 13:08:27
5
𝕸𝖇𝖔𝖓𝖉𝖊 𝕶𝖍𝖆𝖓 🌀 :
jaman inaumiza sana uchungu huu auwez hujua kama hauja poteza mzazi😭😭😭😭
2026-10-16 04:22:06
14
jackgulaba :
hakuna kitu naogpa kama hiki uwa nawaza sana watoto wangu 😔😔
2026-10-15 20:31:15
33
sophie :
ee mwenyezi mungu endelea kumpumzisha kwa amani mama angu kipenzi 😭😭😭😭😭
2026-10-16 08:49:39
7
Ney 69🤎 :
Dah😭😭😭😭😭Mungu amtie nguvu
2026-10-16 12:48:21
2
Daenzy Mnyamaa :
Ni mm tu niliyejikuta namwaga machozi au?
2026-10-16 14:16:18
1
Rizyme :
Nani kama mama tusiokuwa na mama zetu dunia tuwaombeni 🤲🏾🤲🏾🤲🏾 sn Na mliokuwa na mama zetu wapendeni sn😭😭😭
2026-10-15 21:49:53
9
Sadiomane :
Daaah Alafu Bado kadogo sanaaa 😭😭😭😭😭
2026-10-16 13:37:44
2
habbty :
jamani msiwe mnapost vitu kama hivi vinaumiza jamani
2026-10-16 05:25:10
1
Bint shango🇰🇪 :
hivi vifo vya hivi sio mapenzi ya mungu..ebu tumkumbuke muumba wetu atuepushie..ona mtoto ateseka na uchungu😭🙏
2026-10-16 08:00:28
5
edco :
pole sana binti yangu mungu akupe nguvu akulinde nakukukuza katika mahadili ya kumpendeza mungu❣️❤️
2026-10-15 22:40:07
5
Precious Ernest :
pole mama
2026-10-15 18:06:43
2
Moses Songo :
masikini yamungu jamani da inauma hii
2026-10-15 19:19:39
7
nitikemwakasege :
Mungu mlinde huyu mtoto
2026-10-15 20:39:14
3
banzi :
mungu usiwaadhibu watoto kwa kifocha
2026-10-16 08:32:23
1
Emmy❤️ :
Ee Mungu nitunze nimlee mwanangu 😩😩😭😭😭🙏🙏🙏
2026-10-16 08:16:20
1
🌸mis zee🌸 :
Melissa wangu 🥺 mungu usifanye ivyo 😭😭😭
2026-10-15 22:07:23
3
Mammuh29🖤 :
Nimelia walah🥹
2026-10-15 19:27:07
4
CHUSSE🤍🇨🇦 :
hii hali ilinikuta kipindi hiko 2009 nipo darasa la pili dah walinificha ndugu zangu na kuniambia mama ako atarudi ameenda kwa bibi angu kila nikisubir kumbe alikuwa hosptal ashakufa baada ya msiba nilikuwa naenda kwenye kabir lake namuita haniitiki😔🥺
2026-10-16 17:41:20
4
To see more videos from user @tevar_demas, please go to the Tikwm
homepage.