hapo gari iko parking ukisema katelekeza gari mana kaiacha polini taili ajaiba bali kachukua kauza ili apate nauli kuhusu mafuta huo ni mtaji wa kuanzia maisha mtaani wazee wakubwa wa kazi msichambe umbea watu wanataka pesa hawaangali gari sijui mpya mara ivii kazi ikiwa mbovu huo ndio mwisho wake huyo kajilipa adi betrii kala duh au scan ya kongo ndio sababu
2026-10-15 20:14:52
20
Jackson :
unakuta miezi 3 hajalipwa gari yenywe howo
2026-10-18 04:50:27
9
UGATA ULOVELA DRIVE :
wengin tunalilia kaz hiz wengin wanachezea
2026-10-15 19:38:12
4
abushehe :
huyo kuchukua naulitu wala sio mwizi kaka
2026-10-16 12:42:24
1
msafirimwambela71 :
kwanini watu mnao funika akiri huwaga mnakuwa wanafiki nafiki sana
2026-10-15 20:57:32
2
ben23 :
mie wa kwangu aliiba mafuta, kaligonga na kuacha madeni ya traffic 3
2026-10-16 02:42:03
1
Emily Raulent :
tatzo hawa madereva mnaopost post mtandaoni kutoa report mnakera san an unakuta limtu linakuta gar imepak halijui nin chanzo cha mtu kufanya hvyo bc unapost tu kuna matajr wengine wanakera bhan
2026-10-18 06:58:27
0
glaty82 :
mnavyo post haya mambo muwe mna pata evidence matajiri nao skuiz washakuwa was.....ge sana wanakutoa dar ukifika congo wanaleta ujuaj
2026-10-16 18:23:44
2
Jumanne .P.N. :
tatzo gari la kichina ata ikiwa mpya sio salama kwa dereva