Usikute Tanzania ndio channel ya vichekesho huko mbinguni๐๐
2026-10-15 20:33:35
16
My๐ :
jina la wimbo mwanzon hapo
2026-10-15 19:32:11
32
kang D :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman๐ฅบ๐ฅบ
2026-10-15 19:40:31
23
edwardmkude1 :
sa mtu asilale jmn
2026-10-15 18:59:11
31
Msabila tz :
hapo Kuna mambo haya โ๏ธ
2026-10-15 19:19:00
33
vanessa keyna ipupa๐ฆ ๐ผvpโค๏ธ :
wakongo mani kama tuko apa tusjuwane gonga layki apa๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ
2026-10-15 20:23:44
16
manota brand๐ช :
familia ya ndaro tia โค๏ธโค๏ธโค๏ธ
2026-10-15 18:41:23
54
๐Ling'ala๐๐ฆ :
NAOMBA KUULIZA KWANI HAPA NDY YOUTUBE??
2026-10-15 20:22:14
8
x 66 ๐ค :
moja kati ya comedian bora
2026-10-15 19:04:13
29
john heart :
10/10 nalipa
2026-10-15 19:31:21
14
Ngote96 :
Ndaro[Laugh approved] Love From Malawi ๐ฒ๐ผ
2026-10-15 20:57:33
0
trend๐ฌ :
hii nailipa ๐๐
2026-10-15 18:40:01
41
JAGUAR SHERIBE :
very funny ๐
2026-10-15 21:13:36
0
Kocha :
Mimi huyo tarehe 7 / 3/ 2026 hadi aliitwa mama kutoka kijijini ndo nikaamka๐