@edenitv:

EDENI TV
EDENI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 18:40:48 GMT
24291
1652
49
69

Music

Download

Comments

dicedpm
DiceDPM :
Spiritial awakening imenipa discernment kali sana. Naona kila kitu kinaendelea now.. Its scary
2026-10-16 04:49:25
4
mwana.mussa
Mwana Mussa :
group o+
2026-10-16 06:25:17
0
brianmatwema
brianmatwema :
Overthinker
2026-10-16 07:24:28
0
user2350824219867
european car sevis center :
unaambiwa nawambea wako au unajua mwenyewe?mbona kama unatupanga😁
2026-10-16 06:24:53
1
agnesmasanja331
Agnes Masanja :
amen baba angu ubarikiwe hakika
2026-10-16 05:47:23
1
user5576193791834
MPENDWA WA BWANA :
ndio mim kabisaaa yaan
2026-10-15 22:07:21
1
dasophiatz
Moja faster :
Mimi nakaa kimya na nawasaidia mpka wanasema duu wewe sio wa kawaida
2026-10-16 09:00:52
0
swingman38
SWING MAN :
we Pasta acha kunisema. yaani naishi namaumivu tu🤣🤣🤣
2026-10-16 02:47:37
0
neema.dastani
Binti Dastani🇹🇿 :
me ninayo ata kabra sijaomba nmezaliwa nayo hyo roho🙏
2026-10-16 04:23:59
1
roselina.yona2
Roselina yona :
kweli kabisa
2026-10-16 08:26:35
0
aloycejoseph22
Aloyce Joseph Aloyce :
hiyo Roho ni ngumu lakini ni nzuri sana namshukuru Mungu kanipa.uwezo wa kui handle nafurahi kaasababu Hutambua vtu vingi kwa neema ya Mungu
2026-10-15 20:48:40
2
samia.samiu4
Samia Samiu :
hakikaaa
2026-10-16 06:53:50
0
getentan.johnson
Getentan Johnson :
mwlimu nimekuwa na hki kitu kinanitesa sana haswa ninapona mtu akitembea Barabarani na nikafunuliwa matatizo yke kiroho na kifedha
2026-10-16 08:36:07
0
user1513351636536
user1513351636536 :
huyu ni mm kabisa, naweza jua yote na nikakaaa kimya 🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 06:51:55
0
irene.banda319
Irene Banda :
Amina.
2026-10-16 07:48:42
0
dapric
barakamichael73 :
ndomm napitia yvo kabisa yila namuwomba mungu sana
2026-10-16 07:04:50
0
bintiali.maganda
mz :
Asante ubarikiwe pasta
2026-10-16 06:41:01
0
isayakayomvyo
Ipk@man :
kwani Mungu analeta vipawa au tunaomba wenyewe
2026-10-15 19:54:43
0
catherinesimalike
catherinesimalike :
pastor Mmbaga nampataje jamanii,
2026-10-16 09:06:12
0
kellyamani25
Pyeong-hwa🇹🇿$🇰🇷 :
mimi najua ila nikisema lazima kitokee na ni kibaya
2026-10-16 09:14:31
0
anna.wilson514
anna wilson :
hata mm hiyo kitu na me ninayo aisee
2026-10-16 06:16:21
0
christinamayanga7
Christina Mayanga :
Ni kweli kabisa inataka uwe na moyo
2026-10-16 06:14:58
0
sauti.ya.matumain04
Sauti Ya Matumaini :
Mtumishi BWANA YESU ASIFIWE…. Ninayo maswali yangu ambayo natamani tusaidiane ukiwa kama mwana theology natamani unisaidie..
2026-10-16 05:48:51
0
dionisefedsondios
Mwalimu KASOGA :
naomba jina la hili somo nili download plz
2026-10-16 05:40:32
0
momokhan094
🌻MOMO khan🦋🦋 :
kama mimi yani mtu muonga na mjua yani nikikiki taka kutokea kabla akija tokea na jua jaman
2026-10-16 06:32:52
0
To see more videos from user @edenitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About