@bashasha_tv: SEHEMU YA KWANZA: Mfanyabiashara wa nguo jijini Dodoma, Essau Andrew maarufu Andrew Fashion, amedai kuchomewa duka lake lenye thamani ya Sh milioni 120 miezi miwili iliyopita, akimtuhumu mtumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Raymond Mosi, kuhusika na tukio hilo na baadaye kumtishia kupotezwa anapodai haki yake. Akizungumza na wanahabari, Andrew amesema mvutano kati yao ulianza mwezi Agosti mwaka huu katika eneo la biashara lililopo Barabara ya Tisa, ambapo Raymond pia amepanga kwa ajili ya kufanya biashara. Amesema siku ya tukio, Raymond alifika jioni akitaka kufanya ukarabati katika eneo hilo ili aanze biashara, lakini alizuiwa kwa sababu za kiusalama. Kwa mujibu wa Andrew, waliondoka baada ya kukubaliana, lakini Raymond alirejea na kuendelea na shughuli za kuchomelea, ndipo moto ulipozuka na kuteketeza duka lake. Andrew pia amedai kuwa Raymond aliwahi kumsingizia kuwa anataka kuchoma majengo ya CCM ili ashtakiwe kwa uhaini, lakini uchunguzi wa Polisi ulibaini kuwa tuhuma hizo hazikuwa za kweli. Akieleza kuhusu madai ya vitisho, Andrew amesema Raymond amekuwa akijigamba kuwa ana nafasi kubwa ndani ya CCM na Serikali, hivyo ana uwezo wa kumdhuru kwa sababu ya kufuatilia haki zake. INAENDELEA SEHEMU YA PILI #bashashatvupdates #bashashadigital #bashashamedia

bashasha_tv
bashasha_tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 18:53:24 GMT
87499
3331
260
186

Music

Download

Comments

martinshija186
martinshija186 :
freedom is coming
2026-10-16 16:31:03
1
blessgeorge1
bless :
kaka unalo liweza usimwachie Mungu huyo jamaa amenikwaza sana unamchomea mtu biashara bila sababu ya msingi daa
2026-10-15 20:16:19
108
saidkhalphan
saidkhalphan :
malizananae kaka kwamungu hesabu tu
2026-10-15 20:09:11
17
watukule.watukule
watukule watukule :
mkuu waganga wapo waukweli huyo mm ninge Dili nae mtu kwa mtu siwezi kurudi kwenye umaskini kwa kweli
2026-10-16 01:38:46
19
anithasereha
Annie🌹 :
Pole brother, hii n zaid ya ukatili aseee
2026-10-16 11:37:38
0
yonakilabuka3
yonakilabuka :
CCM NOMA
2026-10-16 06:22:19
0
user4107610819756
[email protected] :
punguzeni kudanganywa nawanasiasa halindohyo sasa heche Hana lakukusaidia zaidi yakusababisha umasikin
2026-10-15 21:48:32
3
princesbukuku
Miss B :
Sijaelewa Chanzo cha huu mgogoro
2026-10-16 03:33:16
10
camillylux
camillylux :
Ukinisikiliza Unaweza kushangaa miujiza ya Mungu , kwanza kabisa fanya vyote hakikisha unamsamehe yaani umsamehe kweli Alafu umuombe Mungu akupe uwezo wa kuanza upya jitahidi sana ukifanikiwa Basi utaona mambo Yamato enda haina haja ya kuangaika na Binadam hao watakuharibia future yako 🙏
2026-10-16 05:38:35
9
evansbillionbaby0
kassim muktary :
pole sana najua wenye mamlaka wanatumia nafasi zao kutunyanyasa
2026-10-16 17:12:58
1
amina_james12
Amina_james :
Hakuna mwenye mamulaka hapa duniani zaidi ya MUNGU kikubwa mushitakieni MUNGU
2026-10-15 20:07:27
17
feyoutfit3
Fey Cosmetics $ outfit :
Serikali yetu tumerud kuleeee
2026-10-16 05:03:54
9
dignakanje
Mainka :
Viongozi acheni tamaa meshakuwa viongozi Kwanini mnatesa wanachi jmn
2026-10-15 19:47:50
13
mwaisa315
MWAKAGILE 🇹🇿🇹🇿 :
alaf watu waipende serikali yenu kwel
2026-10-15 22:21:12
8
ashuramse
my love :
mungu akusimamie mimi nisingeweza kujieleza kabisa
2026-10-16 06:26:19
7
hammy.7890
hammy🌏♥️ :
Duuuuu🥹🥹🥹💔🥹
2026-10-16 04:19:24
1
annaty19
annaty19 cornely :
dah jmn sisi maskini,tunateseka sanaa
2026-10-16 03:32:22
6
user8242683305621
user8242683305621 :
huo unyama sana daaa
2026-10-15 20:21:53
5
user5075868271422
HB🇹🇿😘 :
huwezi kupata haki kwenye dunia ambayo wahalifu ndio wanaotunga sheria Fanya maamuzi magumu kaka hiyo haitakusaidia
2026-10-16 04:55:51
7
user6659318128354
Z.MSWANI :
CCM mlipeni huyo kijana mtaji wake mkamateni mtu wenu bila hivyo akibaki uraiyani hilo nidoa kwenye chama mlipeni huyu kijana.
2026-10-15 20:58:33
6
teebenja
~Tee~🦋❤ :
Jaman zambi nyieeee pole sana🥺
2026-10-15 20:29:35
6
morice_junior
morice_junior :
Vijana tunarudishana sana nyuma kimaendeleo 🤦🏽‍♂️me nilijua Raymond atakuwa mzee wala hata sikutegemea atakuwa kijana mwenzetu, hii hali inakatisha sana tamaa, ajira ni ngumu afu bado mtu anapambana ila bado kukandamizana hakuishi 🤦🏽‍♂️💔
2026-10-16 06:01:08
2
msaka.tonge84
msaka Tonge🇹🇿🇧🇬 :
ndokuona Leo muha anaimba msaada selikar imsaidie kwajambo mdogo kama hili
2026-10-16 12:38:25
1
elizabethmbugi218gmail.c
elizabethmbugi :
E MUNGU Tazama haya machozi😭😭😭😭ya watoto wako🙏🙏🙏🙏
2026-10-16 13:36:50
1
mariamujumannebel
Bella's daughter😜 :
adui nae muweza swez muachia mungu wallah
2026-10-15 23:02:37
3
To see more videos from user @bashasha_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About