@kijonjojnr: Moja kati ya washambuliaji bora kuwahi kutokea brazil, Lakini baada ya kifo cha baba yake, uwezo wake ulishuka,  Hari na shauku ya kuendelea kucheza soka ilianza kupungua taratibu, Mwisho dunia ikashuhudia anguko la mchezaji huyu ambaye aliwahi kutabiriwa makubwa wakati alipofika ulaya kucheza soka kwa mara ya kwanza, #Adriano #IlImperatore #SokaLaHistoria #FootballTikTok #StoryZaSoka

Story za soka
Story za soka
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 18:54:38 GMT
10870
1026
23
15

Music

Download

Comments

krisant.jr
Krisant jr :
you are the best
2026-10-15 19:31:02
1
kisole.papa
papa :
wakwanza kaka naomba like yanguu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 18:57:43
1
alexander255__
Xander👑 :
huzuni sana🙌🏾
2026-10-16 04:21:30
1
iddyhazard11
@Iddyhazard_[Hazard Holdings] :
yaan unaelezea vizur san mtu asipokuelewa bas tena
2026-10-15 23:10:21
1
athurmkinga
💫#@ARTHUR💎....mkushi☻ :
first
2026-10-15 20:32:25
1
makavel04
khalfa khan :
kuusu kifo cha baba yake mzazi hapo ndo alipo amua ku2ndika daruga[Crying]
2026-10-15 20:17:04
2
dullynyn1
dullynyn :
unatisha kiongozi[Fire][Fire]
2026-10-15 21:27:03
1
officialfaru
official faru🦏✝️ :
kaka mungu akubless unakipaji
2026-10-15 19:53:52
1
skelly61907
ERIC_$këlly💎👑™ :
🔥🔥🔥🔥mkuu unamakala nzr Sana bigup bro
2026-10-16 00:23:01
1
idris_dinasour68
idriss_dinasour :
nomaa san
2026-10-15 19:15:54
1
estacheobedi
Estache Obedi@ :
okok
2026-10-15 19:34:58
1
abedi.banga
abdi banga :
kwel
2026-10-15 18:58:50
0
iddyhazard11
@Iddyhazard_[Hazard Holdings] :
oya we jamaa documentary zako cy pw san ni noomaa
2026-10-15 23:09:32
0
amadybakari8
Amady bakari :
alafu Kuna deko desusa wote hatari
2026-10-15 19:13:04
1
young.money874
Young money :
🙏🙏🙏🙏
2026-10-16 04:57:03
1
alex.cr7509
Alex :
❤️❤️❤️
2026-10-15 20:46:07
1
To see more videos from user @kijonjojnr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About