@rev.adonijah1: Ukiliitia jina la Bwana utaokolewa sasa na kufanyika upya, usisubiri kubadilika ndio umuite Yesu, muite sasa atakubadikisha #gospelstories #tanziantiktok🇹🇿 #tiktokkenya #fypviralシ

Rev. Adonia Charles
Rev. Adonia Charles
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 19:48:33 GMT
1071
98
7
2

Music

Download

Comments

kechula.bilha
Kechula Bilha :
ameeen
2026-10-17 10:51:17
0
jose.gitura
Mwalimu Jose gitura :
umenitia Moyo sana nilikua na maswali sana maana nilikua naona mbna hakuna anaenda mbinguni kama Mungu anangalia matendo ya watu
2026-10-16 02:24:51
0
amoslesan
olekii porolee :
amen 🙏
2026-10-16 16:26:15
0
charlesmadata
charlesmadata :
asante sana pasta
2026-10-16 08:53:31
0
samwelisamson261
Samweli Samson :
amen mungu akubariki sana maana nilikuwa naofu sijaenda kubatizwa kwamaji mengi lakini lewo tumkiri yesu natuingie raani mwake amen
2026-10-15 20:01:26
0
fredrick..gitonga1
fredrick..gitonga1 :
mwizi alikuwa kwa mwisho wake wa kuishi
2026-10-15 20:12:19
0
kamulinzi
user24541759360957 :
Ivi ikiwa mm natoka Arusha nakwenda Dar nawezaje kusema nimeokoka nikiwa nipo Moshi? mbona having II akilini
2026-10-17 04:50:25
0
To see more videos from user @rev.adonijah1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About