kila Muuguzi ni matamanio yake kuona kila mama anatoka salama yeye na mtoto wake.hiyo ndio furaha yao.
2026-10-16 13:16:21
99
Rehema Simfukwe :
Hongereni mnafanya kazi nzuri.
2026-10-17 04:47:38
20
elizabethstephan580 :
nimejifungua miezi miwili iliopita, kiukweli wakati niko pale hospitali nimeona namna wauguzi na madaktari wanavyohangaika kuokoa maisha ya watoto na mama zao! kama alivyosema Rehema ule ni mtumishi! yaan unaona mtu anafanya kwa uwezo wake wote na wakati mwingine kujihatarisha wao ili tu aokoe mtoto au mama! tangu pale nimewapenda na kuwaheshimu sana watu wa afya.
2026-10-16 11:01:02
76
Meddy Nasibu :
kuzaa salama na mtoto mwenye afya ni NEEMA TU
2026-10-16 15:34:55
51
user711235653081 :
Ila baadhi ya wauguzi naomba usiwatetee sana mm ni muuguzi ninaona wanavyo fanyiwq wagonjwa kaka
2026-10-16 14:20:55
29
mama two :
🥺🥺 kwa mantic hiyoo twende clinic mapema jaman 🙌🙌
2026-10-16 05:08:15
17
amor🌸 :
Bora hata umesema jamn 🙌 wauguz sio kwamba kila watoto wanaopita mikonon mwao basi hawatakiw kuwa na changamoto yoyote et kwasababu ni kazi yao 🙌. Kuna mipango ya mungu pia kuna sababu za kiafya sasa mkiweka lawama kwa wauguz na kusahau kuhusu kuchek afya zenu pia na kuto angalia sababu nyingine basi mtatoa lawama za bure tu 🙌 ...Amkeni 🙌
2026-10-16 06:19:30
16
cute_queenb :
tuliopo sekta ya afya tunaelew haya maumivu unafanya kazi kwa uzarendo lkn huonekan kama unafanya kazi wao wanaona unaharibu tu,,,so sad
2026-10-16 09:21:07
17
G De voice :
kasema mtumike kwa upendo
2026-10-16 14:59:44
10
dijer :
kaka inaonekana ipo hospitali ya private bro hiz hospitali za serikali baadhi yao tena nyakati za usiku hua wanadharau sana trust me
2026-10-16 14:46:57
7
Ida :
umeeleza vizuri sana daktari, wakunga tunasema ahsante
2026-10-16 08:53:22
13
macky15maggie :
jaman nasemaje hata madocta wanatutesa mno tukienda kujifungua .madocta muwe na huruma
2026-10-17 08:55:23
0
user200201019003 :
kujifungua salama na mtoto mwemye afya njema ni neema ya Mungu wataalamu ni kusapoti tu. ombea kizazi chako badala ya kulaumu. Asante daktari
2026-10-17 09:05:36
6
sia🫧 :
Bora tumepata msemaji wengine tukisema tungelia sana imagine badala ya kupata shukran lakn lawama tumezibeba sana Kuna mda unamuachia Mungu tu
2026-10-17 14:41:45
7
Beauty & accessories studio :
Naomba kuelewa zaid daktr..baada ya 18 months after cs..nikibeba mimba from there naweza kujifungua kawaida?[reaso n for cs is prolonged labour]
2026-10-16 03:30:22
0
user6005291196228 :
Point niliyoipata kutoka kwenye story, mama aliita wauguzi wamsaidie alipohisi uchungu lakini wauguzi wakampuuzia... ombi kwa wauguzi mama akisema anavyojosikia asipuuziwe...
2026-10-17 10:11:50
1
my israel :
Mungu awabariki Madaktari na Manesi wote🥰🥰
2026-10-18 09:14:34
5
user8039053834115 :
jamaani niliiona hii nikaumia halafu nikatamani atoke doctor atupe elimu kuhusu hili maana
2026-10-17 16:30:39
1
vinahlmichael :
sidhani km kaongea Kwa ubaya ila uchungu wa muda mrefu nao unachangia changamoto Kwa watoto, naumwa uchungu Kwa muda mrefu mpaka wanapima mapigo ya moyo ya mtt Yako chini au hayadikiki kabisa ndiounaandikiwa upaduaji mtoto anazaliwa kachoka hajalia anakaa masaa kadhaa anafariki, wengine wanapona ni Kwa neema tu jamani
watumishi wa Afya mmekumbushwa tu tumikeni Kwa uaminifu si Kwa ubaya tunawapenda ila mnatukana mnatufokea mpaka tunawaogopa😀 hospital za government changamoto
2026-10-19 21:41:44
1
marggiey-kimdolii :
apn jmn Ila Kwa kinachotokea clinic mpk leba yaan uwii adi nimetafta special doct saiv Bola nigalamikie Tu ela na sio kutukanwa😩😩 na clinic naend private
2026-10-17 13:04:38
0
Happie Nichol🌹🥰 :
delaying labor jmn, umekaa upande wa waaguzi tu lkn wao pia hua ni chanzo,unakubalije mgonjwa anakaa na uchungu sku 3 unamuangalia tu?????,.mwenyez Mungu anapanga ndio,lkn mwanangu alisababishiwa na wauguzi,.hospital za government hawajali kbs
2026-10-21 04:33:14
1
tlimz_official :
hajalaumu
2026-10-16 19:40:47
0
mimah :
asante maana watu wanapenda sana kututupia lawama jwa vitu wasivo elewa
2026-10-16 17:43:09
3
Crown Queen :
Umetupambania sana chief asante🙏🏽
2026-10-18 13:39:56
0
erren_ken :
mi nasimama upande wa Rehema maana hii situation imemkuta mtu wa karibu. na wale manesi kuna namna walifanya uzembe. tukubali uwajibikaji wataalam wa afya wenzangu
2026-10-16 19:59:21
1
To see more videos from user @makoye.anatory, please go to the Tikwm
homepage.