@nick__baro: Dady’s daughter ❤️❤️ siku yako itakuaje wewe na baba yako? Mc Nick Baro #HereWeGo🎤

nick__baro
nick__baro
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 20:25:29 GMT
101209
6346
244
95

Music

Download

Comments

ruty_43
MRS.GSM✅🥰🦋 :
Tatizo baba angu alikuwa mvivu kupuamua
2026-10-15 22:00:56
177
zarshybebecooper1
🦋ILEVELO LADY🦋 :
Rest in peace baba angu
2026-10-16 09:30:20
0
mwajuma.ayubu00
Mwajuma Ayubu :
my daddy 🥹
2026-10-16 07:34:36
0
cutefrozah
D♍️ :
Me na wanguuu hata hatupendani😅😅😅😅
2026-10-16 07:38:49
23
mrs.mkku
Mrs Makuku :
mim wng hataki ata kuniona wala kunisikia
2026-10-16 13:44:55
0
lucytony1
Lucy❣️ :
baba analia maskini ya Mungu , hongereni wenye baba
2026-10-16 06:27:25
76
sulle.37
sulle 3 :
alichokosea ni kumpa baba jezi ya yanga😂
2026-10-16 06:37:32
30
recho.mgeni
recho mgeni :
daaaaah hata cjakaa nae 😭😭😭
2026-10-16 06:43:19
2
pyump7
pyump@🍒🍒 :
mimi wangu anahangaika kwa waganga kuniroga ili nisifanikiwe kisa alimpa mama pesa ya kutolea mimba mama akaforce kunizaa na bado akaendelea kukataa kunitunza nimejitambua najipambania anaona wivu kumjengea mama angu kisa yeye nimemtelekeza kama alivyonitelekeza ashidwe,ashidwe, ashidwe kwa uwezo wa MUNGU.
2026-10-16 06:29:15
36
renahteshapatrick
Renah tesha Patrick :
R.I.P BABA YANGU MZEE PATRICK KILAKI TESHA[Crying][Crying][Broken heart]
2026-10-16 06:51:46
1
khajat_taiso
It's me gemini :
Sijui kwanini baba ameondoka mapema jmn 😭
2026-10-16 07:10:33
13
lucykiswaga0
Lucy Kiswaga :
niliitamani hii lakini😭😭😭😭😭 pumzika kwa Amani baba yangu
2026-10-16 09:50:13
15
molly_0503
miss_ Molly 🦋🧡 :
af kuna huyu Baba angu[Tears of joy]
2026-10-16 06:35:12
1
sekundakessy
Kessy Kessy :
Pumzika kwa amani baba yangu
2026-10-16 12:08:07
4
ms_.annie
ms_.annie :
Me wangu alienda hospital hakuwah rudi sa ntacheza na nani akiii 🥺
2026-10-15 23:01:29
11
lovness49
lovness49 :
sisi wengine Baba zetu Mungu alishawachukua jamani 😥😥
2026-10-16 08:06:36
5
zelote13
zelote fruit & salad 🍎🍎🍎 :
nlikwepo kwenye hiyo harusi
2026-10-15 21:01:52
7
user4563221375616
mariammartin :
hakutaka kupumua babaangu nakukumbuka daima😭😭😭😭
2026-10-15 22:28:01
10
nasma2370
Nasma store 🛍️ :
mungu akulindie baba ako🙏
2026-10-15 22:52:28
5
annamwalongo826
Ms-Selongo🦋🌹 :
Tatizo baba ang alikufaa😭
2026-10-16 13:03:54
0
user3339162488423
alvina :
baba angu siunajua nakupenda atakama umekataa kuamka tena😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-16 11:14:19
3
mrsmo086
Mrs moo🔐❤️ :
Tatizo babaangu alikua muvivu w kupumua🥺🥺🥺
2026-10-16 06:53:49
2
missjanebright
Quune Aura :
Sijui kwann nalia 😢
2026-10-16 09:24:52
3
user932006576015
omega :
wangu aliniacha tokea 2021 sijawahi heal kwakweli na Kuna vitu sikuwahi mfanyia labda nikutokana na kipato ila iwish angekuwepo leo ningetoa mpaka sent ya mwisho kwake na kwamama ila ndio hivyo Tena wametangulia wote🥹🥹🥹
2026-10-16 11:53:51
0
silviasanga44
via :
ipo siku na mm ndaimba ivi na baba ang
2026-10-16 09:20:46
1
To see more videos from user @nick__baro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About