inaumiza wazeee so poa nguvu iliyotumika hapo kaka analia kwa uchungu sio poa
2026-10-17 13:16:59
5
kilian george :
Sikia kwa mweziooooootu
2026-10-21 04:35:49
1
CASCARABIAS MKONJE :
Hiyo lini hiyooo
2026-10-20 19:17:17
0
dangote danga :
walikuw wapi mpaka mtu anajenga anamalizaah
2026-10-16 21:49:14
4
king shabz 001 :
nyumba inauma kuliko mke jamani kujenga ni garama
2026-10-17 08:37:48
5
Ino aly shanto mbaga® :
2026-10-17 10:32:03
2
Hassan Manjoti :
mimi ndiye naendesha hilo
2026-10-18 10:40:17
0
pj :
ila maumibu ya nyumba usiombe ikukute wewe nyumba inauma sana ni gharama
2026-10-17 10:00:00
5
hoomod :
ila selekali daaa bas t
2026-10-17 12:10:40
1
LN@ :
Hii serikali ina watu makatili sana tena hayana huruma, hivi mtu hadi ajenge nyumba ikawe kuukuu mlikuwa wap kama sio ukatili uliopitilza ni kujichumia dhambi za bure t
2026-10-18 12:09:00
3
Mr J :
kwe mtu amelipwa fidia Angelia hv sna uhakika hilaaa hii nchi sjui
2026-10-17 13:29:19
1
Ibusix :
kwa Nini watu wasipewe fidia kwanza NDO wabonolewe, dah inauma sana
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
hii nchi dah
2026-10-16 22:34:08
3
Nafsa Hamis :
mtu unaeza kufa na presha walai
2026-10-17 01:59:04
2
Miss sasha :
duuu inauma sana
2026-10-16 19:14:15
1
HR :
oya hii nchi haina haki
2026-10-17 15:44:55
1
Mom tripleH³ :
ccm mbele kwa mbele tumeipenda wenyewe Wacha tuisome namba
2026-10-16 21:22:54
1
salimu :
poreni kwakutiki
2026-10-19 17:19:27
0
SABRA 47❤️ :
2026-10-20 03:43:18
0
MARTINA MINJA :
kweli hii serekali, Ina mambo ha ajabu sana.
2026-10-21 18:05:10
0
Fettyfashion :
maumiv sana
2026-10-21 12:06:29
0
zungu sela :
oy vp uko kwan
2026-10-21 21:08:59
0
S.M 💧💦 :
kwani imekuaje
2026-10-20 16:57:00
0
JOHN :
polen
2026-10-16 15:51:29
1
To see more videos from user @0753989820.com.tz, please go to the Tikwm
homepage.