@iycsigntv: Ujumbe kwa wapendanao mapenzi ya kweli lazima mununiane leo munapigana kesho munaongea kama kawaida Muusika: relationship 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Friday 16 October 2026 03:12:57 GMT
145096
7780
131
1381

Music

Download

Comments

miss.kentia
miss kentia :
that is true
2026-10-16 09:37:05
0
queenbbygirl7
Official sweet Bby girl ❤️💍🔐 :
Sas haya yangu mpk lini huu mnuno lakn 🤔🤔🤔🙄🙄🙄😂🙌🏻
2026-10-16 11:44:10
10
nn._classic.collections
NN._Classic.Collections :
cyo tununiane mm ndo ninune yeye anibembeleze😅
2026-10-16 10:05:51
10
missmanase
missmanase :
Mimi Mume wangu jumapili tukitoka kanisani akashinda nyumbn jaman lazima tugombane au Mimi Nina shida 😂
2026-10-16 06:30:56
27
user7937511088366
nana♥️♥️ :
me wangu akipumzka tu nyumbani lazima tugombane🥺🥺
2026-10-16 06:34:33
11
amina23467778
🍎AMINA🍎🇴🇲🇹🇿🔐 :
mimi kila baada ya siku mbili nanuniwa😂😂😂
2026-10-16 05:05:13
6
catherinelusajojoram
Catherine Lusajo Joram :
Kuna muda tunagombana halafu tunasema tuwe marafiki [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] tutaongea Kama rafiki then tunajikuta kushasameheana
2026-10-16 05:58:04
0
kichwa.kibovuu
Being Sisy❤️🌸🦒🦒 :
Mm tumenuniaa mwezii wa pilii huu na namba nimebloc na hakuna mahala nmetafutwaa🤣🤣🤣
2026-10-16 05:15:52
3
mwasham.lenatus
Mwasham Lenatus :
mim tunangombn rakini tunapatan
2026-10-16 06:17:42
2
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Yangu yamezidi kha uongo bhan 😏
2026-10-16 12:37:12
2
like.wise22245
LIKE _WISE🦋🤗 :
Mimi kilacku lazima tugombn kilacku jmn mpk nachoka 🙌
2026-10-16 10:58:27
1
martha.amani73
Chalamila store :
kwaiyo haya yangu nivumilie
2026-10-16 03:20:07
1
waabdallahbambash
Popo dullah :
mm mpka nile block ndio ntulie😂😂😂
2026-10-16 06:55:01
0
haika.motta
Haikamesia :
Huyu wangu sasa....tunananuniana afu akifanya mpango wowote ananitafta...
2026-10-16 11:10:51
1
tinahsf03
@tinahsf0 :
mmmmmmh m bax xijui niko kundi gani maaaan ni mnuno hata wiki nzima no communication au niache kujipendekeza
2026-10-16 10:47:50
1
husna.said00
Husna Said :
mimi tunagomba marakwa mara baada Lisa moja tunapatana tunafurahayakutosha tena
2026-10-16 09:17:27
1
anifqje2
Shangazi 🤱😁😁 :
sisi tumegombana jana leo tupo sawa🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 05:44:57
2
bemmy525
mona ♻️❤️ :
kaninunia Nisha muacha juzi tu sitaki ujinga mimi
2026-10-16 08:02:43
1
black_ghal0
BABE🩵 :
Siku ya nne kanuna😂😂
2026-10-16 09:37:53
1
tumababy1233
🦋🦋MRS-----❤🦋🦋 :
mmmh wangu tunarekebishan ata hatununian
2026-10-16 05:14:56
1
use2026ww
Jen✨ :
2026-10-16 06:02:04
1
somto91020
Gee🦋❤️ :
sauti yake kama ya @chinenye nnebe
2026-10-16 13:36:35
0
emvungi
e@Mvungi :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapana kwakweli
2026-10-16 14:31:21
0
athumanisalim
Albert kindamba :
mimi na mke wangu 😂😂
2026-10-16 14:14:56
0
mbeyaboy97
lamadhani :
jaman mbona mimi mke wanga atuja wayi kununiana na sasa tuna timiza mwaka wa 7 Yani akuna ugovy
2026-10-16 14:17:00
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About