@daughter.of.zion0724: Biblia inasema yeyote anayejisifu Ajisifu kwakuwa anamjua Mungu Je leo ukipewa mic ujisifu Utajisifia nini?na iwapo ukitaka kujisifu kwaajili ya Mungu je unaamjua kwa kiwango gani. Usijisifie vitu,hivyo ni vya muda na huwa vinapita au kuisha Tafuta kumjua Mungu zaidi,Ili akupe unyenyekevu,na watu wanapokuona wamuone yeye na siyo wewe. Mwezi huu wa kumi weka bidii katika kutaka kumjua yeye (Ayubu 22:21) Pastor Winnie Kilemo 0769141105 #Love #reelsvideo