Kwasababu Samsung kuna mkopo gari wa kianzio elfu 50 na malipo 2000 kwa siku we uliona wap iphone ya bei hio 😂
2026-10-16 06:52:17
2
Brighton Renatus :
Ukisema hapa Tanzania iPhone haiwezi kushika hata nafasi ya 10 tena kama umemaanisha matoleo ya hivi karibuni yaani iPhone 18 hadi iPhone 16 basi apple itashika nafasi ya mwisho kabisa, kwa sababu hiyo simu pamoja na kuwa kizazi kipya wanaipenda ila wenye uwezo wa kumudu ghalama za kununua hiyo ni wachache mno.
2026-10-17 05:50:04
0
19sudi :
iphone wanatoa flagship peke yake sasa wangapi wana uwezo wa kununua hizo simu
2026-10-16 12:47:16
1
Abdul Makwizi :
team samsung 🤟🤟🤟
2026-10-16 21:35:03
0
Google Pixel TANZANIA🇹🇿 :
2026-10-16 21:40:33
0
AMIR NUNEZ EVARA 🇹🇿 :
aaah Xiaomi bana mbona haipo
2026-10-16 12:29:37
0
chuga star :
samsang og
2026-10-16 06:37:40
0
ZOMBIE TZ☠️💀 :
Hapo kwenye samsung ludia tena
2026-10-16 13:23:47
0
CAN.CALL.ME :
sio ivo iphone ni gharama sana
2026-10-16 06:10:13
0
🅺🅰🅺🅰 :
Samsung zimeuzik san kwa sababu ya sm za mikopo nying san
2026-10-16 23:27:07
0
star prince :
infinix cjashangaaa
2026-10-16 07:59:25
0
■kareem☆☆jfour❤️💙🤍 :
A07 namba moja aseee
2026-10-16 08:37:22
0
yusuph kingo :
kaka embu ongelea simu ya Hisense maana sitaki kufanya makosa
2026-10-16 20:37:12
0
_ Bigfish_429 💦 :
Mmh hilo gap Samsung aliloliacha noma sana 🫡
2026-10-16 23:11:04
2
network :
infinix wanatoa kwa mkopo😂😂
2026-10-16 20:48:15
0
Sahani Makoye :
sema za mkopo ndoo wanaongoza
2026-10-17 03:29:02
0
user60936556368 :
😂😂😂
2026-10-16 08:49:12
0
luangilahemedi :
[Perfect score]
2026-10-16 13:38:42
0
sefu Said :
🥰🥰🥰
2026-10-16 07:09:48
0
MESSI REDSICK🏃 :
😁😁😁
2026-10-16 06:43:54
0
To see more videos from user @dardealz, please go to the Tikwm
homepage.