Wafanyabiashara wote tukutane cocobeach jumapili tukapige yoweee😂😂😂💔💔🙏🏼🙌🏼hali si hali😄😄😄😄
2026-10-16 09:25:34
7
berthacollection0 :
Nimecheka 😂😂ni mimi jaman 🙌naumwa kichwa mpaka nilienda bugando kupima MRI sina shida kumbe ni biashara
2026-10-16 07:26:43
7
Angel🥰 :
naomba kuuliza sio kwa ubaya mm nina mpesa ni mfanya biashara ama mfanya kazi???
2026-10-16 07:23:55
4
MMG🙏 :
Mara order haijafika 🤣🤣🤣🤣mteja anataka ndani ya dakika 5 iwe imemfikia jamani 🤲🙆
2026-10-16 09:20:49
3
dellish_zawadi :
Leave me aaloooooneeeee😂
2026-10-16 08:18:38
1
johnumeme918 :
yote kweli huyu Mimi kabisa biashara kuna muda ni kuchanganyikiwa
2026-10-16 09:50:12
4
tedy :
mimi nina biashara ya mill 1 tu lakini nachanganyikiwa,
nikifikisha mill 5 itakuaje
2026-10-16 09:32:23
2
Gre keru :
Yani ndio wakati nilio nao
2026-10-16 08:20:04
1
aishastor12 :
Nikweli wallah 🥺
2026-10-16 11:31:21
0
wema Maro💕 :
Ewaaaaa tusemeee duka huru kuna time hata mtoto anakusalimia unasahau hata kuitikia🥺 samtime wafanyabiashara kuna muda tunatamani kujichimbia sehemu
2026-10-16 12:29:38
0
@SIKA COLLECTION :
ndiy hali yangu ya sas nataman kulia
2026-10-16 11:15:27
0
Flavie Collections💕 :
hahaha
2026-10-16 12:18:14
0
Doreen Chacha92 :
😂😂😂😂😂😂au basi
2026-10-16 11:27:29
0
SMMARMY COLLECTION :
Sio kichwa kuna mda unaonaka kiza tuuh ndo ninapolala kwanza nyumbani nisijekugongwa na magari nikajifia...[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 10:49:31
0
mrs :
Mbona hujasema kuliaaa, Tena Usiku wa manane 😭😭😭
2026-10-16 10:18:34
0
Nyamila Herbal Clinic :
mbona kama hizo dalili zote uwa zinanipata
2026-10-16 10:21:15
0
Mama BLESS⛪🇹🇿 :
"kweli ningekuwa nakunywa pombe ningekuwa nakunya nitulize kichwa!., but nikiwa na mambo mengi bora niingie kulala au nijaze Mb niperuz nitulize kichwa!...[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-16 10:43:22
0
hilda 😁 :
2026-10-16 04:54:34
0
Endy Yamat :
yani ni mimi kabisaa 😂 alafu unakutana na staff anafanya uzembee
2026-10-16 08:16:38
0
Agatha Lema283 :
hapo huja kosea kabisa
2026-10-16 09:11:53
0
Samira Hassan 95 :
Uyo mie kabisaaaaaaaaa 🫣🫣
2026-10-16 12:57:19
0
Baruty Classic wear👗👙👚🥿👟 :
Ni Kwel kabisa
2026-10-16 09:45:27
0
SM FLUFFY RUGS :
nakubalii😁😁
2026-10-16 09:56:01
0
Tina nafaka ❤️ :
Ndindindindiiiii🔥🔥🔥
2026-10-16 09:40:58
0
Ms_leah✨🦋 :
sure
2026-10-16 04:56:46
0
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm
homepage.