@tonny_official2:

tonny_official2
tonny_official2
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 05:14:21 GMT
241964
21445
976
569

Music

Download

Comments

ernester.anthon
Lydia momy🌸🌸🦚 :
Apo Kuna mambo haya✌️
2026-10-16 08:09:13
12
husna0044
🧿🌸husna 🍎 :
Mimi jana tuu nimeanza kumkanda miguu kaniuliza usalama upo mimi sina hela 😂😂😂😂
2026-10-16 07:32:56
296
user9324844068242
chidyofficial :
ila ila mbl y camera kuna wnwake weny nidham
2026-10-19 00:02:46
0
mz.r153
Mz R :
hongera sana ni kabila gani huyo?
2026-10-16 18:30:44
8
lenamunyoki
Naira🌸🤍 :
Mimi ata kumletea maji yenyewe siwezi anajua penye yapo
2026-10-16 06:58:45
103
kikotijenny
kikotijenny :
mi nikimfanyia hiv mme wangu atanicheka mbona🤣
2026-10-16 06:54:29
181
pockie022
unknown :
Mim wangu nikimwambia tuu nakupenda babe utaskia unataka kunitoa kafara au😅
2026-10-16 08:06:58
51
user3057708324228
user3057708324228 :
naamini sio G nzee plus you're luckiest man
2026-10-17 16:20:33
0
evakajala1
Evakajala🦅 :
Siku mkiachana sjui mtatuambia nn tuwaelewe 😅
2026-10-16 06:54:52
30
rechor.pwele
Rechor Pwele :
me utumwa hpn
2026-10-16 05:45:24
43
user7708547348040tresy
terrytess💜❤️‍🔥🫰🫰 :
kenyans mko uku 🤣🤣madem wakenya where are you??
2026-10-18 12:48:22
1
aziza.tungu
🌹cute smile 💞❤ :
😂😂😂 hapo wakiwa tk tok niwema ila kumbuka nyumba zinamambo mengi
2026-10-17 09:21:59
6
aduda287
Aduda :
I need such a wife
2026-10-17 16:10:19
0
moreenlam570
Momo cakes :
😀😀😀unajua nacheka kwa nini
2026-10-16 05:18:30
24
aminamiambo3
It's _ Minart❤️🔥🔥 :
wasukuma ndio tulivoooo kbsaa hajakosea
2026-10-16 05:26:30
34
lizzybeby00
@eliza phidelis :
mi na hu mwili wang nkipga magoti paka nije ninyanyuliwe😂😂😂😂
2026-10-16 06:01:25
30
userguch
KAKA MSUSI NJOMBE 👽kaka beuty :
Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja
2026-10-16 22:33:53
10
emanuel.kachaa
Emanuel kachaa :
wananiuz mm
2026-10-18 22:06:25
0
minah69256
mimi ndelwa :
nmeskia bismilah nmefurah sana allah akbar
2026-10-16 19:04:03
6
user2748128585205
Anna Thomas :
me nimependa mnavoishi Mwenyezi Mungu awabariki msigombane hata siku moja mfike mbali msisikilize ya walimwengu
2026-10-16 06:18:21
5
ibrahim_mussa144
Ibrah_modern_decor tz :
mashaallah mungu namem nipe kam huyu
2026-10-18 17:11:44
0
zenaismail6
🦋🦋zena🦋cute🦋🦋🇹🇿🇹🇿 :
mm leo nimemwambia mme wang kalibu chakula kitapoa kanambia unavyo niona sina hata mia kwenye warety yang katoa kabisa nikachoka😂😂
2026-10-16 19:54:51
0
useryhappree
user happy ree :
sisahau mmewangu nilipgia magot mbele ya wagen ili wanione nina eshma mme wangu alishindwa jizuia alicheka ad na mm nkacheka
2026-10-17 19:55:07
4
jovitha_5
joo🦋🦋 :
mbona mm nkijaribu kufany hivi ananiuliza vp unataka nn kwani[Innocent][Tears of joy]
2026-10-17 11:01:21
1
chll507
Samira mussa :
mapenz ni mazuri tiktok 😁😁
2026-10-18 09:39:57
0
To see more videos from user @tonny_official2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About