@oscar_mkatoliki: MUUJIZA WA ROSALI TAKATIFU WA HIROSHIMA JAPAN. Mpendwa katika Kristo ndoto yangu ni kuwatengenezea maudhui yenye ubora mkubwa zaidi ili yafikishe ujumbe Kwa wengi na kwa namna sahihi zaidi; Kama unatamani kuwa sehemu ya utume huu wa uinjilishaji kwa lugha ya Kiswahili, unaweza kuniunga mkono kupitia: +255 750 327 323 Jina: OSCALIUS ELMES NIHONGATAILE. Kama ukishindwa kuchagia basi sala zako na matashi yako mema ni muhimu sana ili kuhakikisha utume huu unasonga Mbele. Mungu akubariki sanaa. #onthisday #fyp #oscar_mkatoliki #viral #tiktokkenya🇰🇪
sababu ya kuwa atufuzwi catholic bible kma Ester and etc
2026-11-21 18:06:57
0
Veronica john :
ee mama mwema utuombee
2026-11-12 16:05:40
7
Pritty Macha :
Rozari ina nguvu kubwa tembea nayo
2026-11-15 18:41:00
3
nelice :
bikira maria msaada wa wakristo utuombee
2026-10-28 07:42:59
16
Consuetudo Vitae :
MAMA MARIA utuombee
2026-10-16 05:51:14
27
jimmy magacha :
mama maria mama wa huruma tuombee
2026-10-23 21:08:04
6
Oliva sekamenya :
ee utuombee
2026-11-14 03:48:06
1
Ivy💞💕💝 :
mama Maria mwombezi. wetu utuombee
2026-11-07 14:20:26
2
sommy de sika :
niulize ipi sahii m2 akisali
kwaa ajili ya mateso makali ya yesu au n
kwaa ajili ya matesoakali ya bwana wet yesu krist ipii sahii naombaa msaadaa apaa
2026-11-11 20:03:52
0
scola💫🌹 :
Mama mariaa ni mama wa wotee tusiache kusari rozali takatifu
2026-10-16 05:31:52
9
matifi the gurl🙂↕️😘 :
rozar inanguvu ukiisali kwa iman
2026-10-24 03:34:33
2
Rema🦋 :
Sifa kwake bwana Mungu Mwenye miujiza mengi. Mama Bikira Maria tuombee ❤️✝️
2026-10-16 09:29:43
6
roootskya :
Bro Imani ni Moja💯 Katoliki!!! na Mama MARIA ni mwenyewe hurama , upendo ma neema nyingi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2026-10-16 20:43:49
4
Da mzurii👌 :
mama bikira maria utuombee
2026-10-16 17:40:23
4
Hamlungi Cyplidio :
Mama maria utuombee🙏🙏
2026-10-16 08:01:54
2
bintimabula💃 :
mama maria ni mama wa wote...tusali rozali takatftu kea iman🙏🏾🙏🏾
2026-11-10 03:27:24
1
clara :
mama maria nimama WA wote❤️❤️❤️
2026-10-16 06:40:46
2
france HJ :
watakatifu wote mtuombee
2026-10-17 13:38:06
2
josephine mickidad :
Mama Maria utuombee
2026-10-16 07:09:27
1
Zawa🫶🏾 :
Mama Maria utuombee 🙏🏽🙏🏽
2026-10-16 08:48:59
1
vai mam :
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-16 12:05:22
1
jesca salvatory :
amen
2026-10-17 10:08:23
1
Arnold jp :
Amina
2026-10-16 11:20:26
1
china lady :
tujivuniee ukatolik wet
2026-11-01 05:29:31
1
Alice achar :
amen 🙏🙏🙏
2026-10-16 07:07:26
1
To see more videos from user @oscar_mkatoliki, please go to the Tikwm
homepage.