@fredmsungu: THE MAN BEHIND THE CROWN 👑 UANAUME wa mwanaume unaanza kuonakana na kuiathiri jamii / taifa na dunia siku ambapo amejua kuhusu MAONO aliyobeba. Na kwa tafsiri nyepesi, MAONO ni sababu ya uwepo wa kitu. So, siku mtu anapojua nilichomfanya aje duniani ndiyo tayari amejua maono. Na unapoanza kuyatendea kazi ndipo umeanza rasmi kuishi. KUMBUKA! Kuishi ni zaidi ya kuwepo. #KwaMunguWanguTaifaLanguNaKizaziChangu