Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@cookingwith.mirah: Supu ya nyama, lakini leo sijaianza kwa kuchemsha nyama… nimeianza kwa kukaanga! 😍 will you try this?!
Mirah🍃
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 06:18:01 GMT
205195
4077
106
243
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.81MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
2.67MB
)
Watermark .mp4 (
1.81MB
)
Music .mp3
Comments
j :
supu haiwekew mafuta
2026-10-16 08:00:15
143
消える Kieru. :
Supu au mboga hii
2026-10-16 09:11:18
29
mariamharuni97 :
kwetu supu ukiweka manjonjo huo ni mchuz
2026-10-16 09:31:15
81
mahira :
chemsha nyama mpk iishe maji itajitoa mafuta utaikaanga kidg afu utaendelea na processes zako...supu ya kiswahili haiongezwi mafuta bibi watu watakinai
2026-10-16 08:48:40
19
Rachel❤️🦋 :
Hii sio supu ni mchuzi wa ugali wa mtoto😂😂😂
2026-10-16 12:47:19
10
Johnson de💪 :
duuuh mafuta kwenye supu
2026-10-16 08:38:52
9
Deira Collection Arusha :
Alaaah kama vile ilikua amazinggg😄😅
2026-10-16 15:59:26
2
@DYNER :
Chapoo ziko wapi sasa
2026-10-16 07:31:29
9
Madam Minner Kizuri :
Mboga umepika hapo tafuta ugali
2026-10-16 12:55:49
3
Emmy 🛍️ :
Hiyo muchuzi bhna supu huchemshwa haikaangwi ila enjoy zako mwaya😂😂
2026-10-16 10:48:32
3
P E R F U M E P A R L O R :
🔥🔥🔥 I will definitely try thiss
2026-10-26 09:07:27
1
Prety cat🐈 :
Umeniiga 🤣
2026-10-16 18:12:26
0
Momoemmaz🥰 :
Supu tn mnakaanga jmn mafund w upish😅
2026-10-17 14:54:22
0
IRENE COLLECTION :
jaman kila mtu ana mapishi yake kikubwa tu enjoy
2026-10-16 17:24:13
1
momy_sky1 :
Songea ugali ukule mwaya
2026-10-17 04:34:36
0
vash_shine🦋♓️ :
Na chapati apo Yesu kristo 🥰🥰
2026-10-16 18:18:57
0
Humeid Dhahi Huwesheil :
mchuzi huo sio supu
2026-10-16 10:15:17
1
P E R F U M E P A R L O R :
Yummy😍😍
2026-10-16 08:44:39
0
P E R F U M E P A R L O R :
Style unique sanaa🔥🔥
2026-10-26 09:07:14
0
user4265312935694 :
pika ugali ule ugali na chukuchuku
2026-10-16 10:19:20
0
Nana heena :
mimi supu ukitia mafuta kwa juu natapika
2026-10-16 16:54:41
2
lucy mwaijengo734 :
kwanza hiyo nyama ni mbichi supu haiwekwi mafuta.
2026-10-16 09:30:01
2
tarison28 :
Soup ya kukaaangaa😁
2026-10-19 11:07:21
0
it's dee ❤🫂 :
itakuwa nzuri kweli nikajaribu jumapili
2026-10-16 09:02:41
0
KELVIN SHAKA :
ya kuonja ipo
2026-10-22 11:15:44
1
To see more videos from user @cookingwith.mirah, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#صحاك-الشوق#فضل-شاكر#fypviraltiktok🖤シ゚☆♡ #كامله #وبس
Salud #creatorsearchinsights #tiktokshop #paratii #salud #resveratrol
#creatorsearchinsights #اكسبلووووورexplore #fypシ゚viral
Water gallon water container lifter holder handle #watergallonlifter #lifterholderforroundgalloncontainer #lifterholderforgallon #foldingholderhandlewatergallon #watergallonholderhandlelifter
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy