@afya.na.semo: 🚨 WANAWAKE, HIZI NI ISHARA 7 ZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI UNAZOPASWA KUZIFAHAMU! Saratani ya shingo ya kizazi inaweza kukua bila dalili katika hatua za awali. Ndiyo maana ni muhimu kutambua ishara zinazoweza kujitokeza. 👇 1. Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa. 2. Kutokwa na damu nje ya siku za hedhi. 3. Kutokwa na damu baada ya kukoma hedhi. 4. Uchafu ukeni usio wa kawaida, hasa wenye harufu kali au uliochanganyika na damu. 5. Maumivu wakati wa tendo la ndoa. 6. Maumivu ya nyonga au sehemu ya chini ya tumbo yanayojirudia. 7. Maumivu ya mgongo au miguu na kuvimba miguu katika hatua za juu za ugonjwa. ⚠️ MUHIMU: Dalili hizi hazimaanishi moja kwa moja kuwa una saratani ya shingo ya kizazi. Zinaweza kusababishwa na magonjwa mengine pia. ✅ JINSI YA KUJIKINGA - Pata chanjo ya HPV inapopendekezwa. - Fanya uchunguzi wa shingo ya kizazi kwa wakati. - Usipuuze dalili zisizo za kawaida. 📢 SHARE ujumbe huu uwafikie wanawake wengine. Kugundua mabadiliko mapema kunaweza kusaidia kuzuia madhara makubwa. 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐀𝐩𝐩/𝐂𝐚𝐥𝐥 +2⃣5⃣5⃣7⃣4⃣6⃣1⃣1⃣2⃣3⃣3⃣0⃣#creatorsearchinsights #tiktokviralcontentcreationstrategies #saratani #tanzaniatiktok #Fertility