@murahusa6: 🚚Leo mbaka kieleweke 🇨🇩 mgodi wa LCS congo hautoi gari🚛 #kolwezi🇨🇩 #truckdriver🚛🇹🇿 #LCS mining🇨🇩

Murah Khan 💪🚛🚛🇹🇿
Murah Khan 💪🚛🚛🇹🇿
Open In TikTok:
Region: CD
Friday 16 October 2026 06:32:02 GMT
109266
3717
190
142

Music

Download

Comments

erastoo48
elly :
siku nikienda konngo sijui itakuwaje maana nimezoea songea mtwara
2026-10-16 10:36:26
5
lifetime_95
lifetime 🌿 :
ngoja nendelee na IT zang
2026-10-16 10:38:28
3
rafiu.wa.ukweli
RAFIU wa UKWELI :
poleni wapambanaji wenzangu! napajua hapo nilikaa wiki na nikaondoka bila kupakia
2026-10-16 13:42:52
6
kimariorto
KIMARIO R T O :
tuko wengi kaka wengine tuko metacol ila sisi wame tuambiya J4 tuta Toka 😢
2026-10-16 08:33:15
5
g3sinahakilivizuri0
G3 ᒍᖇ ᗰTᑌ ᗯᗩ ᒪOᗩᗪ 🛣️🛣️ :
ulitaka kusemaje munataka kufanyaje nimesikia munataka kuandamana😂😂😂
2026-10-16 18:10:07
1
nasibally3
CHIBU TRUCK DRIVER :
KPM Tuko Siku ya 20 leo mgodi umefungwa pia
2026-10-16 12:52:27
3
chank.mdoli2
Said side :
kam ss leo uk metkolu ipo hivyo
2026-10-16 11:30:44
1
momy.lizybeth
lizybeth💖💸💖🦚 :
poleni sana mungu awasaidie mtoke mapema
2026-10-16 11:55:48
2
mpenenge
Bashiru Pazi :
Shida ni vita wanataka kuanza tena vita kunakikundi kimeingia msituni kipya
2026-10-16 12:01:04
1
papykawembe
papykawembe :
congo haiedi vizuri nduguangu🥺🥺🥺
2026-10-16 10:43:20
2
midompole2346
Mr MBELE KWEUPE 23 🚛 :
Kuna mwanangu yupo apo company ya zam zam anaitwa juma polen wakuu
2026-10-16 19:04:04
1
john000cr7
johncr7 :
Uko wapi ?
2026-10-16 12:10:46
1
emanuel929265
FATHER MEN🙏✍️ :
CONGO sio kongowe✍️
2026-10-16 12:11:02
1
user93822062480100
LATIFA MBIZO :
tunawaombea ili mtok
2026-10-16 15:19:19
1
babakipingwi2
baba kipingwis 🐧🐧 :
ASA mwanangu congo siunajua mwenyewe ikifikiaga mwisho mwisho wamwaka
2026-10-16 13:13:11
1
ashrafu.kinunga
roja b kinunga :
wanataka zikitoka zitoke kwa pamoja
2026-10-16 12:26:25
1
christopher.thoma253
Christopher Thomas :
polen wangu shangamoto kweli
2026-10-16 11:47:03
1
user8195411203260
Lucy zabroni :
poleni sana kwa changamoto
2026-10-16 10:33:11
1
sam.tz43
sam tz :
congo sio
2026-10-16 08:16:30
2
one_of_a_kind81
Layman :
kaka unajua jinsi ya kufikishaujumbe... big up sana na poleni na changamoto
2026-10-17 04:48:01
1
khaled.suleyman4
Fadiga Khaled :
ndio zao hapo yashanikutaga na dereva wangu hapo wanatuletea mikate na soda 😂😂 tuligoma hivyo hivyo
2026-10-16 10:34:21
1
peterwilliam297
WHY ALWAYS ME 🤫🇹🇿 :
kongo jau
2026-10-16 08:26:21
1
yusuph_don
Yusuph the Don :
Sasa kama hali ya njian sio nzur
2026-10-16 12:00:52
0
user1092332874710
Bluestone_2015 :
kuna vita kubwa sana congo
2026-10-16 09:59:36
1
rajabukhamisi7
rajabukhamisi :
🙏🙏poren sana hizi Kaz sijui zinamfumo Gani
2026-10-16 14:32:54
1
To see more videos from user @murahusa6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About