@zamani_sana1: Coment nyimbo ya zamani sana ambayo unatak tuiweke kwenye post ijayo #oldschool #fyp #flypシ #foryoupage

Oldschool
Oldschool
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 06:55:10 GMT
51806
2173
71
123

Music

Download

Comments

anna.nhamanilo
annanhamanilo :
Nzela ya banana Zoro
2026-10-16 18:40:58
0
mkikis_255
mkikis_255 :
NIPIGIE, AT ft Stara Thomas
2026-10-16 21:39:16
1
nck231_
Ja Rule :
Jina la wimbo
2026-10-16 15:11:08
4
benny_0417
benny_0417 :
1968 kipind viwanja masaki vinauzwa jero mimi nlkua busy Sinza nanunua madada poa na kulewa any way kula maisha kula maisha we live once✍️
2026-10-16 17:52:53
9
jojopearson1
user2609145735959 :
Ningejua nngejinunuliaga kiwanja enzi iz ona ad saiv nmepanga 😭
2026-10-16 17:02:04
5
user6911817723626
Mduo :
Hapo kweny mapenz mabaya hapoo
2026-10-16 16:44:29
4
dscollection060
Queen Dazz❤️ :
watoto wa 2000 wanashangaa hiki nn ,wanazan Diamond katoa wimbo mpya 🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 18:01:56
3
cuteshakirah
CUTE SHAKIRA🥰 :
kwan mbona najishangaa maana hii nyimbo nlikuwa naimba san kwan n mwaka gan ilikuwa uskute nmezeeka 😂
2026-10-16 19:20:42
1
user6104093698226
Salome Barinaba :
jina la wimbo tafazali
2026-10-16 17:49:11
0
ramaartamba
sailor :
2010 wahapahap😂😂🔥🔥🔥
2026-10-16 16:42:15
1
saje6803
saje :
nilikuwa mtoto ila niliipenda san
2026-10-16 17:59:02
1
lazarotz26
Lazaro_ :
2030
2026-10-16 11:22:21
2
amosika6545
AMOS✅️✅️⭐️⭐️ :
kitambo sana iyo kaka
2026-10-16 15:36:56
1
21ashasaid
Asha :
me mwenyew alini boa
2026-10-16 15:31:17
1
sabrinaomary3
SABRAH SAYD :
siri ya mtungi
2026-10-16 11:03:20
1
christinakindole5
christinakindole5 :
chechemtungi
2026-10-16 16:08:29
1
user2633479304390
madam devina :
aliboa sana
2026-10-16 07:13:33
1
harleyquiin77
Empress👑Aira🌬 :
hivi ndo vilikuw vitu vyangu enzi ya miaka 60's
2026-10-16 17:18:33
1
user9942171813211
Eugen lucy :
soo ya pasha au binti kiziwi ya z anto
2026-10-16 11:07:48
1
richardmasangwam
Henry richard :
mapenzi bhna
2026-10-17 07:47:32
0
miabella08
KBK SPARE & SERVICES TUNDUMA :
Nilikua naimba kwa nguvu enzi hizo, saizi Mimi ndo zoba sitamani hata kuusikia 😂
2026-10-17 07:23:42
2
primtrecy
trecy prim :
🥰🥰 wimbo wangu pendwa
2026-10-17 08:22:52
0
ndoa88
💝mahusiano na ndoa🍹 :
hahhahaaahhaha
2026-10-17 01:32:25
1
goose2537
Goose :
😂😂 sio wewe tu hata me alikua ananiuzi na hizo nywele kama mwalim
2026-10-17 00:01:55
0
dgt4524
gtz :
elimu mtaan. com hili goma nalitafuta sana
2026-10-16 07:13:05
0
To see more videos from user @zamani_sana1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About