@upendoparenting: As a mom naelewa kwamba NATURALLY mimi naweza kuwa na watoto mara nyingi kuliko Baba, naweza kuwa karibu zaidi na kubond nao zaidi. Ndiyo maana nimewafundisha watoto wangu kumfanyia baba yao nafasi pia, kumuonyesha baba yao pia kwamba wanampenda, wanamthamini na wanamjali. Na hizi 5 ni baadhi ya yale ninayoyafanya na point namba 5 ndio KUBWA YA MSINGI KULIKO ZOTE. Ninatumaini kusikia mama mwenzangu huwa unafanya nini ili mimi na jamii yote ya upendo parenting tujifunze. Tupe mbinu zako mama tuchukue notes. Share nasi kwenye comments 💕
kama unafanya ivooo Mungu akubariki wewe ni mke mwema tunatamani ivooo katika familia zetu.
2026-10-20 20:11:44
2
Bouruga tz :
Natamani mwanamke wa aina hii wallah
2026-10-20 13:20:49
1
Makini :
Sisi ambao atutamani kurudi tukae wapi
2026-10-21 19:31:01
1
Eng aloyce :
Haya yote anafanya mke wangu pia for sure inatia Moyo sana wa kupambana na kuipenda familia
2026-10-16 14:31:58
1
Amondi jaber :
mm tu cfanyi ayo naanzaje fundisha watt labda nianze😭
2026-10-17 15:59:08
2
Pricy PLeated :
wangu ana 2yrs ila nimefundisha kuombea wa nyumbani wote, anasema yesu bariki oddo, baba, bibi ila kunitaja mimi kwenye maombi yake kila siku namkumbusha na mama ndio anitaje 😂😂 ila nafarijika mno akiwa anaomba
2026-10-17 10:47:21
1
TX mwinyi🚧🚧⚓️⚓️🇹🇿🇹🇿 :
Namshukuru M/mungu sana kwa familia ya sina ninachowadai nikiwa Baba ninaepewa thamani ndani ya nyumba mke wang popote ulipo MUNGU akubariki sana 🥰🥰🥰🥰
2026-10-18 12:14:25
0
essaumwakasege :
Mungu awabariki wanawake wenye moyo kama huu.
na hao ndo wakuitwa wake sasa
2026-10-16 20:08:43
1
Dius :
Mungu Atawasaidia Mtazeeka Pamoja na kuwa na Mwisho Mzuri Sana, Wewe ni Mwanamke Mwenye Busara.
2026-10-19 03:47:23
1
JohnThe1 :
Umebarikiwaaa dadangu
2026-10-25 09:14:39
0
Sayeed💠 :
nimefarijika kukutana na post ya thamani namna hii🙏👏
2026-10-20 18:47:03
1
NYANSABHO... :
Nimeoa sehem ila Kila nikisikia Binti anavozungumza na baba yake😂😂 nacheka mno, baba Yao wanamdharau sana sababu ya mama Yao, ikitokea akizaaa na Mimi hatoamini sitawaliki
2026-10-25 05:12:53
1
Hafidh :
Baada ya kuoa ndo nimeelewa kwanini uislam unaruhusu wake wanne.
2026-10-18 18:16:18
1
PHERSON 💪 :
mama wa mithari
2026-10-21 13:42:51
1
️ ️ :
Kipato nacho kinachangia Baba kuthaminiwa...
Wanaume tutafute Tu pesa...
2026-10-26 13:01:37
0
Siah Nyange :
😂😂😂
2026-10-20 14:51:17
1
Madam Ney :
🥰🥰🥰
2026-10-19 14:51:33
1
To see more videos from user @upendoparenting, please go to the Tikwm
homepage.