[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Abarikiwe aliye gundua smartphone[Laugh approved]
2026-10-16 12:39:29
0
💎first born 🌊 :
tatizo alieposti mwenyew ni last born 😅😅
2026-10-16 11:32:57
12
Esha_lengesha :
usituponze last born mwenzetu🤣🤣🤣
2026-10-16 13:16:21
0
Dee wa tecno :
loh nusu nipost nikakumbuka boss kanifollow😂
2026-10-16 08:51:55
4
Dayna Aloyce :
Mnataka kutuponza cndio😂
2026-10-16 08:55:38
12
jackie❤️🦋 :
usiniponzeeee😂😂😂
2026-10-16 12:05:46
3
maria :
daaah ningeweka status nikakumbuka boss huwa anakazi yakuviews
2026-10-16 11:06:50
1
fey🦋gal💞✅️ :
shetani anaguvu jamani, nipo kazini nimejificha nkalala, ndo naiona hii post..hapa niamke hii raana itanichinja😅
2026-10-16 12:55:42
2
exclusive77 :
me napost bn boss atajua mwenyewe😂
2026-10-16 10:52:42
2
JACKIE CHAUDELE🫦 :
Siwez weka rehan kazi yangu aki🤣
2026-10-16 12:04:00
3
baba lolo :
ko me ndokabisa naanza kuota nafukuzwa na kumbi kumbi
2026-10-16 07:53:21
1
annamkunte7 :
Hii inaitwa jichanganye😂😂
2026-10-16 13:12:31
1
Malaika :
me napost bhna aibu ataona boss😂😂😂😂
2026-10-16 11:14:45
1
basupa tajiri :
🤣🤣🤣 mm nime nunua na mto kabisa
2026-10-16 13:47:23
1
Amina :
😂😂😂da yani mimi baada ya kumwambia bosi wangu nataka kuacha kazii ameniambia duka lake limepata hasara ya milioni 3 😁 😁 wakati mimi hata sijawahi kushika hiyo hela mwanetuuu nifanyaje jamani mnishaurii
2026-10-16 14:06:32
0
bibah :
msinichonje😂
2026-10-16 13:44:44
0
mery :
kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 13:31:31
0
nema :
2026-10-16 13:24:24
0
Rose Elias :
Ningeipost ila boss ni mtata
2026-10-16 13:24:57
0
Melvin :
Utaniponza 😁😁
2026-10-16 13:34:28
0
DR sabitina :
mungu amlinde boss wangu nimenunuliwa hd mkeka wa kulalia
2026-10-16 13:42:32
0
💞CUTE💞QAILA🇰🇪🇸🇦 :
mm ndio uwa siachi kabsa acha kaendee😂😂😂😂
2026-10-16 13:30:07
0
꧁༒☬محمد بن لافاميليا 33☬🎭🤍🫀 :
Mimi boss aliniambia hiyo kazi ya kuwanga haikufai utakuja kufaa 🤣🤣🤣
2026-10-16 13:25:20
0
momo wanu :
umu tu
2026-10-16 07:11:20
0
To see more videos from user @lstbrn50, please go to the Tikwm
homepage.