@kipanyatv:

Kipanya Tell A vision
Kipanya Tell A vision
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 07:22:52 GMT
8865
651
25
70

Music

Download

Comments

hamidubravo
Chieftain_Hunter :
matarajio yantuumiza sana
2026-10-16 17:02:34
7
bintingsalumu0
9991 :
Ningeambiwa nite maoni ningeoma umri kuanzia miaka 60+ tungekua na sehemu mfano viwanja vya bustani tukutane ili tusafishane akili Nathaniel ingetusaidia maana hata baadhi ya wanawake wanapiatia pia.Baba naomba lifanyie kazi hilo umegundua jambo la msingi na muhimu sana 🤝🙏🙏🙏
2026-10-20 04:35:07
1
chekanaissa2
busineabdu :
nitahahikisha watoto wangu hawamtengi baba yao.inshaallah
2026-10-17 03:59:01
10
kuruthumomary100
kushy 🎀✨️ :
bro respect
2026-10-26 07:16:26
1
dadmarcus42
demerous_domitira33 :
sisi wanaume ni Mungu tu anajua...
2026-10-27 06:52:03
1
clement.lemanya0
Clement Lemanya :
Duh
2026-10-27 20:39:08
0
mrmtema
Rama Mtema :
KIPANYA HII INATUUMIZA SANA WALLAHI
2026-10-17 15:48:02
3
wilbroadgrarcian
wilbroadgrarcian :
Mungu atufanyie wepesi.tusiwasahau wazazi wetu
2026-10-16 10:50:30
3
jumaabeleu
Abeleu J. :
nimeokota code apa
2026-10-17 06:09:39
1
jameschibuchaulaya
James Chibu Chaulaya :
kipanya the great thinker
2026-10-16 20:31:37
1
likestar183
Likestar :
nataman sana nije nikushike mkono siku moja kaka kipanya.. dah...
2026-10-17 16:44:17
1
bugonjechele4
bugonjechele4 :
KAKA KP SHIKAMOO
2026-10-20 08:19:05
1
user923197107751
user923197107751 :
Naam maneno hayo Niya kweli Kanisa,sasa tunza pesa,sio msaada wa watoto
2026-10-20 09:26:02
1
thelatigazo7
Chizi wa Bagamoyo (CWB) :
nataka hiyo T shirt uliyovaa kipanya size large nipe utaratibu niipate
2026-10-16 08:22:17
1
mswage88
mswage :
kaka nyinyi ambayo munasikika na wengi pazeni sauti Ili atambue baba anamchango wao sio mazaifu yao tuuu.
2026-10-17 06:03:22
1
nickylems
Nicky :
men......prepare for old age.......
2026-10-17 05:56:11
3
jose_chikunde
Joseph Chikunde :
Kikubwa ni sumu watoto wanazopewa na mama zao. Ndio maana wazee wetu walikuwa na wanawake zaidi ya mmoja. Hii iliweka balance ktk familia na umuhimu wa baba haukuweza kufichwa au kuchafuliwa na wake zake. Tatizo ni kuzeeka na mke mmoja hasa kama umeoa hawa millennials
2026-10-16 21:58:31
2
fmacdaniel
fmacdaniel :
Wanaume wengi tunapumbazika tukiwa na nguvu kutokuweka akaunti binafsi yaani ukiwa na watoto Saba nane ni mwanaume mwenyewe, wakifika chuo na akaunti yako binafsi iwe chuo. Mengine ni upuuzi mwingi na wanaume kujifanya hatutaki empowerment na tuna upumbavu mwingi
2026-10-21 19:18:37
1
rooneykiwelu167
Rooney Kiwelu :
kipanya ustahili kuwa waziri sema watu hawaoni ujue, yaani Africa ngumu.
2026-10-17 07:30:18
1
benedictsiweya
benny76 :
SUMU NI KUBWA SANA KUTOKA KWA MAMA ZETU YAANI WIVU WAO KWA BABA
2026-10-19 06:04:33
1
fernandezduro
Fernandezduro :
Hii ndio hali inayowakuta wanaume zama hizi!
2026-10-27 12:06:21
0
shutuacrobatics
SHUTU ACROBATICS :
🔥🔥🔥
2026-10-21 04:03:39
1
To see more videos from user @kipanyatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About