halafu waseme Samia kaua watu kumbe chadema ndio kimeulisha watu
2026-10-16 11:48:26
2
""The Matthew Jr"" :
Halafu raisi wa Tls anasimama anasema hana hatia 😳😳.Tls iliundwa 1954,na ndiyo taasisi pekee kweny ichi hii inaendeleza Utanganyika.Nafikiri inahitaji reformation mpya au ifutwe kwabisa kama itaendelea kuwa hivi ilivyo sasa.....!!
2026-10-16 12:08:19
1
Freank Wiliam :
kwani wewe ulitaka afanyaje
2026-10-16 12:33:39
0
Deusi mfanya biashara :
asipohukumiwa huyu sheria zetu zitakuwa hazina mashiko.