@jerry2550: ETY tiba asili ila mimi

DINGII255
DINGII255
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 07:40:12 GMT
36974
1342
50
29

Music

Download

Comments

international.new04
International news :
hiyo leo hiyoooooooo🙏
2026-10-16 11:08:35
0
mbagacharleskub73
MBAGA CHARLES KUBEJA :
Naomba ufafanuzi Mimi niko kijijini ni muumini wa hii madhabahu kwa mda mrefu madhehebu mengine sitambuliki maana huwa siendi na sadaka yangu huwa na natoa kwa mwamposa, Je nikitaka kufunga ndoa huku kwetu kijijini nani atatufungisha? Pia ukitokea msiba hapa kwangu kijijini na mimi nimeokoka kwa mwamposa nani ataendesha ibada ya mazishi?
2026-10-16 10:17:34
2
chubwa797
chubwa👑 :
Leo hesabu mnatuwakilishia 40000😂
2026-10-16 08:35:21
0
rahabufashion
Rahabu :
Kwann tiba asili
2026-10-16 11:16:29
1
patriciamarro72
Patricia -store (mama mchele) :
tiba asili😃😃😃
2026-10-16 09:03:41
1
lizy.peter8
Lizy Peter :
ila tiba asili🤣
2026-10-16 08:47:00
1
king.maduhu.jr8
King maduhu jr👍👍 :
hahaaha
2026-10-16 11:36:03
0
epm428
EPM :
2026-10-16 11:43:15
0
elnol12
Agnetha 💋 :
uwe unatupa update jmn
2026-10-16 11:11:41
0
officialj5318
official J💋 :
😂😂😂😂😂et tiba asili akikusikia mi simo
2026-10-16 11:20:37
0
user3606159776215
Manase :
zingatia neno tiba asili
2026-10-16 11:08:30
0
user837858755402
@ashley :
amen
2026-10-16 11:12:10
0
user756570025490
Elizabeth ❤️🌹 :
sisi do watot wa mutumishi
2026-10-16 10:28:07
0
tiliphon200
dogo la neck tz🇹🇿☠️☠️ :
na mim nipo njian☺️😄😄
2026-10-16 10:11:45
0
revocatusmichael6
Revocatus Michael :
namm nipo njiani naenda Kwa mwamposa
2026-10-16 09:45:20
0
helyfaida42
helyfaida42 :
mh
2026-10-16 10:24:10
0
ej207gmail
EJ207@gmail :
wanaend kuokot gari
2026-10-16 09:21:43
0
kim.happy3
Kim happy💕 :
2026-10-16 09:54:38
0
irenijohn567
Ireni John :
mimi niko njiani aenda bro.
2026-10-16 11:54:39
0
barakakayungilo37
baraka kayungilo.tz✅✅ :
nakubari akae tuu
2026-10-16 09:44:18
0
herman.willson5
Herman Willson :
taper huyo
2026-10-16 09:30:00
0
mngonigani
mngonigani :
jamaa anaendaga sehemu zenye hela tu, huwez kumsikia ameenda manyoni au kasulu
2026-10-16 10:19:30
1
josephwebilo
Joseph Webilo :
watapata taabu sana wenye macho yasio ona wenye masikio yasio sikia
2026-10-16 08:58:50
3
user3025404323280
D!m@💪💪 :
tanzania tumebak wachach weny akili
2026-10-16 09:05:10
2
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
iv mnajua wengine wametokea huko kakola jana nashangaa natokea kakola watu wanambizana na ww unaenda kwa mwamposa nilishangsa sana
2026-10-16 09:24:56
1
To see more videos from user @jerry2550, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About