@abdulhafidh575: 🐓:jogoo anapowika muda mwengine usiokua UO bs ni kheri.na pia wapaswa uombe dua.useme EWE MOLA NAKUOMBA FADHILA ZAKO....ila kwa usiku mkubwa mara nyingi hua tofauti
MTUME S.A.W AMESEMA
Mkisikia kuwika kwa jogoo, basi mwombeni Allaah kutoka katika fadhila Zake. Kwani hakika amemwona Malaika. Na mkisikia mlio wa punda, basi takeni ulinzi kwa Allaah kutokana na shetani (Sema: A'udhu billahi minash-shaitanir-rajim). Kwani hakika amemwona shetani.” — (Imepokewa na Al-Bukhari na Muslim). [1, 2]
2026-10-16 10:53:01
16
:
upon wap
2026-10-16 12:18:39
0
:
sasa shekhe kama jogoo wangu nyumbani anawika mudahuo atakua ameingiwa najini ama vp
2026-10-16 09:45:33
6
:
Sasa Mbona Kuna Hadith Kuwa Jogoo Kuwika Usiku ni Habariii Njema..Huwa Wanawaona Malaika Wakiwa Wanateremka Kuja Katika Nyumba zetu..Hii Imekaaje
2026-10-16 08:08:31
9
:
help me with my dream$%#& l dream my x_husband each time when he is annoyed %please tell me the meaning
2026-10-16 10:51:29
0
:
Jongo oo akiwika mafundisho ya dini yetu amemuona malaika
2026-10-16 12:07:23
1
:
jogoo anapowika muda mwengine usiokua UO bs ni kheri.na pia wapaswa uombe dua.useme EWE MOLA NAKUOMBA FADHILA ZAKO....ila kwa usiku mkubwa mara nyingi hua tofauti