@just_a_vessel26: 🔥 MAISHA YA WAZAZI WAKO NI UJUMBE KUHUSU KIZAZI CHAKO! ⚠️ 👩 KWA MWANAMKE: Angalia maisha ya mama yako. Tabia ambazo huzipendi, usiruhusu zijirudie ndani yako au kwenye ndoa yako. 👨 KWA MWANAUME: Maisha ya baba yako yanaweza kukufundisha mambo ya kuzingatia na tabia unazopaswa kukataa. ⚔️ USIACHE MAKOSA YA KIZAZI YAKAWA HISTORIA INAYOJIRUDIA KWENYE MAISHA YAKO! Simama katika maombi, chagua tabia zinazompendeza MUNGU, na vunja mzunguko wa mambo usiyotaka kuyarithisha kwa watoto wako. 🙏 UNACHOKIONA KWA WAZAZI WAKO, KIFANYE KUWA SOMO—SI LAZIMA KIWE HATIMA YAKO! #creatorsearchinsights #motivationalvideoclipsandquotes #fypシ゚ #rgcministry #fyppppppppppppppppppppppp

Andrew_Mtega
Andrew_Mtega
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 08:30:44 GMT
5298
457
8
61

Music

Download

Comments

user8213450698448
lety iddy :
naitaji ili somo lote nalipataje
2026-10-16 09:38:09
1
felistamaua
Mama Rehema :
😭😭😭😭 nakataaa kuzaaa na mume wa mtu kwa nguvu ya jina la yesu
2026-10-16 10:22:40
2
febielias490
Feby ntangu :
naikataa hiyo roho Kwa jina la yesu kirsto
2026-10-16 12:28:41
2
gibso.gipso
Gibson M :
Neema ya bwana ituwezeshe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-16 12:20:09
1
humphreypallanjo
pina kwavi :
Nakataa kuishi maisha waliyo ishi wazazi wangu kwa jina la YESU KRISTO
2026-10-16 19:56:28
0
user8213450698448
lety iddy :
eee Mungu naomba neema yako initofautishe katika jina la YESU kristo
2026-10-16 09:36:34
1
To see more videos from user @just_a_vessel26, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About