@mkakamweus2: Jana jioni mama mzazi wa mshindi wa Miss Grand international, Jihan MOHIN DIMACHK aliwasili nchini akitokea Lebanon. Mama huyu amekuja nchini Kwa ajili ya mapokezi ya mwanae hapo kesho ambapo atapokelewa na Watanzania wengi akiwa na taji hilo. Sasa basi, wakati huyu mama ame wasili na watu kumuuno wameuliza maswali huku wakionekana kushangaa, huyu ndo Mlisema ni Msukuma? Mtu mwingine amesema inawezekana pia hata huyu mama yake siyo Mtanzania halisi mbali na baba yake ambaye naye ni mtu wa Lebanon. Lakini aliibuka mtu mmoja akawaambia, kamtazame Dj fetty aliye kuwa Mtangazaji wa clouds Fm au Queen Masanja muigizaji Wa Jua Kali aliyekuwa mke wa Dokta mwaka wale wote ni wasukuma wa Shinyanga. Wewe Kwa maoni yako unaonaje?#creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights

mkakamweusi2
mkakamweusi2
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 08:36:20 GMT
58521
996
36
11

Music

Download

Comments

user7483467834883
Deborah Lumala :
Kwan Asili ya wasukuma ni weusi au weupe mnipe maji u jaman
2026-10-16 11:20:12
1
conjetinasagala34
conjetina alphonce sagala :
kwani na yule mama alielia sana siku Ile ya ushindi ni Nani tuliambiwa ni mamaake ma alikuwa mweusi jamani mnatuchanganya
2026-10-16 12:17:11
3
panta.bizzy1
Panta Bizzy :
huyo ni dada wa baba ake jamani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 13:51:51
0
andreamwantepele54
andrea mwantepele :
mbona mnamaneno nyie watu kwani hamjawahi sikia wasukuma Wana chagulaga wadada weupe wakisukuma kwaghalama yeyote atakayo pewa. acheni maneno☝️☝️☝️
2026-10-16 13:34:48
1
saadamasoud935
Saada Masoud :
wasukuma wengi ni weupe wala sio ajabu
2026-10-17 18:38:26
1
user8281618476091
user8281618476091 :
mlikuwa hammujui mbona hamkumposti acheni wivu
2026-10-19 13:36:57
0
naa9790
naa :
AAA watu bwana
2026-10-16 10:44:48
1
maimartha12
Madame Boss 💖🍃🍀 :
Kwan uongo
2026-10-16 17:20:59
0
ferstathomas
Fersta Thomas :
wasukuma tuko weus
2026-10-17 14:47:44
0
user6921012391329
user6921012391329 :
ndiyo ni msukuma
2026-10-17 13:31:52
0
kherry.abraham
Kherry Abraham :
Tumepigwa vibaya
2026-10-17 14:08:06
0
dorcaskivale
Toto dee🤦❤ :
tumepigw
2026-10-16 13:12:38
0
janethbahaty
J :
Yaan Ss watanzania tunapenda kushadadia mamb lkn hii inshu mmh ngj tuone mwisho wak
2026-10-17 19:43:44
0
erasto.mesa
Erasto Mesa :
wengine tukae kimyatu
2026-10-16 15:36:13
0
jafrinlukenza197
matwiga :
tulipigwa
2026-10-16 14:14:11
0
angel.shayo48
M.k :
kuna waskuma waarabu pia
2026-10-17 20:23:33
0
estar.simon1
Estar Simon :
Acheni maneno kwan amn msukuma mweupe jmn
2026-10-16 10:21:40
0
anna.teophili
Anna teophili :
kila kabila lina wazuri na wabaya acheni ubinafsi tena kuna wasukuma wazuri kuliko huyo mama
2026-10-17 13:32:18
0
annaemm8
@official naah :
huyo ni shangazi akeee 🤣🤣
2026-10-17 12:23:07
0
musa.sinzi7
Musa Sinzi :
Ogopa matapel
2026-10-17 07:58:13
0
royal.oven6
reallydee🌹 :
Nyie nao Kwa kuyachokonoa hamjamboo
2026-10-16 18:37:40
1
rachel.masanja25
Rachel Masanja :
mtahangaika sana kwani wasukuma.mnatuonaje kwanza sisi ni wazuri ulitaka awe kabila gani
2026-10-16 14:14:41
0
ammaliya545
ammaliya5 :
alisema amechanganya ..
2026-10-16 17:07:30
0
saliatbaraka76
sakham76 :
mmeanz umbea
2026-10-16 13:02:54
0
official_africanprincess
husna :
tumepigwa changa lamacho sasa
2026-10-17 12:55:12
0
To see more videos from user @mkakamweus2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About