yaan nikipata wa kunifundisha hatua kwa hatua sichelew kuelewa ila hv kuchambua Moja Moja mara kutajisha nikiwa mwenyewe nimejitahid ila Bado kichwa akitak
2026-10-16 12:18:45
3
Zeemeer25 :
MashaAllah. Wewe ni mwalimu wa kisawa sawa. Mwenyezi Mungu akubariki na akulinde. Hivyo ndivyo inavyo takiwa kufundishwa. Shukran