@lutanajr: Tatizo Sio Kuomba Tatizo ni Kuomba omba😂🤣 #swahilitiktok #comedyvideo #funnyvideo

lutana_🧢
lutana_🧢
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 08:49:52 GMT
12544
747
16
9

Music

Download

Comments

kidimbe_capetown
Kidimbe_capetown :
makanisa wenzetu wana miradi, mfano Catholic Wana mahosptal mpaka ya rufaa, mojawapo ni KCMC, mashule, mavyuo, ila sie viongozi wetu janja janja Sana, uliza BAKWATA wana mradi gani? halafu kingine utakuta msikiti upo katikati ya jiji halafu umezungukwa na fremu za maduka msikiti wote kodi fremu moja si chini ya laki 4 kwa mwezi ila utakuta waumini tunachangishwa pesa ya umeme, inafika kipindi tuambiane ukweli, halafu mwezi wa Ramadhan utasikia BAKWATA wamepokea meli ya tende na nyama ya Ngamia, ujinga mtupu, tunakula Ngamia halafu umeme unazimika eti luku imeisha, yaani mnatutia aibu waumini nyie viongozi wetu
2026-10-16 14:07:32
2
carrick383
carrick :
tatizo sio kuomba tatizo ni kuomba tatizo kuomba sio kuomba
2026-10-16 09:43:06
1
marcogaga1
Marcogaga :
ujumbe ni kwamba wenye nacho watoe
2026-10-16 20:46:59
3
kideboy56
KIDE BOY TZ 56 :
😂 niombeni sasa
2026-10-16 12:45:14
1
nasra_thrift
Nasra Kuwandu :
2026-10-16 10:51:54
1
malisa.gaison
GAISON MALISA :
👏👏
2026-10-16 09:39:39
1
mazee338
mazee338 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-16 14:12:02
1
jonajackson9
J.JONA :
ni kweli kabisa na barabaran wamejaa tele
2026-10-16 22:10:38
3
user4835127553394
user4835127553394 :
uku kigamboni Kuna wa mama Kila siku wanasema Kuna kituo Cha kulelea watoto yatima wanaomba msaada Kila siku utawakuta feli stendi
2026-10-16 18:47:12
4
ibradesigner1
Designer 👑 :
Shekh anazuga
2026-10-16 21:47:47
1
atanaizer2
lameck :
wamepita Leo nimewaambia mm mkristo mm kafiri
2026-10-16 18:21:59
3
user51825682331
inocent nereson :
🤣🤣🤣😂🤣🤣
2026-10-16 11:32:39
1
To see more videos from user @lutanajr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About