@bbmtvtanzania: Wakili msomi Frola Shija ameelimisha jamii kuhusu haki za wanandoa. Akizungumza kwenye mahojiano, ameeleza kuwa unyumba ni haki ya kimsingi na ndio msingi mkuu wa ndoa. Mwanandoa anayenyimwa haki hiyo anayo haki kisheria kwenda kushtaki Polisi au Mahakamani. Pia aliongeza kuwa ikiwa mwenzako atashindwa kutoa haki hiyo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ugonjwa, sheria inatoa nafasi ya kuomba kuvunja ndoa hiyo kwani unyumba ndio kiini cha ndoa. #tiktok #fyp #fypシ #viral #bbmtvtz

bbmtvtz
bbmtvtz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 08:59:46 GMT
23226
381
15
130

Music

Download

Comments

lucy.myrah
lucy🎀🎀♥️ :
me ntafugwaa mbn 😂😂
2026-10-16 18:41:53
0
abuu.abuuu7
Abuu abuuu :
marriage is not a marriage until is consumatted
2026-10-16 19:10:14
0
mariam.shaksi3
mariam shaksi :
polisi s watachoka maana kwenye ndoa nyingi watu wanabakwa...
2026-10-16 10:55:14
1
rainah091
Miss Inna🌹 :
mme wangu akiona hiii nimekwisha
2026-10-16 09:14:05
1
maryndimubenya
maryndimubenya :
Kama sina ndoa afu nikamnyima je atanishtaki???🤣🤣🤣
2026-10-16 15:26:15
0
ramadhanjellah
ramadhanjellah :
alaf polisi watakupa msaada gan?
2026-10-16 19:37:03
0
bright.mwaulambo
Bright mwaulambo :
endera ktufundisha. mafundisho mazuri
2026-10-16 18:56:25
0
mudrck00
mudrck :
kama hamjafunga ndoa na mna miaka 20 kakataa kukupa unaruhusiwa kumshtak
2026-10-16 17:36:38
0
ben_soni
Benson :
mm akininyima naenda kununua kuna wanao uza yani niende polisi kisa ameninyima siwesi
2026-10-16 16:12:00
0
mwan453
tik :
uwiii nampa kila atakapotaka ila mi simuombi
2026-10-16 16:33:26
0
santinamwachali
tina :
2026-10-16 15:55:43
0
josephinefanuel
JOSEPHINE Fanuel :
😂😂😂
2026-10-16 18:51:14
0
To see more videos from user @bbmtvtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About