@momadini_: Kwa nini kila mtoto aondoke nyumbani na kuanza maisha kutoka sifuri? Familia zijenge utajiri ambao kila kizazi kitaendeleza badala ya kuanza upya. #MoMadini #fyp #wazazi #creatorsearchinsights #wisequotesaboutlife
Unaongea hayo maneno kwa kuw hujui watoto wetu wa kiafrika, shida kubwa ni kwamba akipata nafasi ya kukukaa kwa wazazi wanajisahau wala hawafikiri unachokisema, wengi wanaishia kuwa walevi, wazinzi na upuuzi mwingine, acha aende akapambane na maisha atajua namna ya kutafuta maisha.
2026-10-16 11:49:34
1
To see more videos from user @momadini_, please go to the Tikwm
homepage.