@waizer.it: Hii issue ishakua deep, kwanini uondoe maisha ya mtu kwa tamaa ya mali? Yani unalalaje usiku ikiwa mume wako umemtupa kwenye shimo la choo in the same compound, THIS IS SO EVIL
Kifoo Kifoo😭Niliolewa mwaka jana Yule kaka wa kisukuma alijua kunijali Ndoa yetu ilikua na upendo mnoo,Mume wangu alikua mkulima wa vitunguu(Ddoma) mimi nikiwa na duka la nguo,Alilima vitunguu heka kadhaa kama ilivokua desturi yake ya kulima,Lakini bahati mbaya Lile eneo alilolima ilikua bondeni mvua ilinyesha kubwa,Maji yakawa mengi bondeni Vitunguu vikasombwa na maji ya bondeni iyo siku Ndio nilimuona Mume wangu analia kama mtoto,Akampigia rafiki yake anajihusisha na uchimbaji wa madini(Ushirombo) akamwelezea Uyo Rafiki akamshauri aende uko kwenye uchimbaji😭Binafsi nilimkatalia asiende uko Roho yangu ilikua nzito sana,Nilijitahidi kumbembeleza sana tubaki wote Dukani kinachopatikana tutakula pamoja ila Mume wangu alikataa kubaki😭Akaniambia nimpangie nguo akaangalie tu ramani kama hakutakua vizuri atarudi,Basi nikampangia nguo akaondoka,Tarehe 28.5.2026 sintasahau hii siku napata taarifa ya kifo chako Mume wangu akiwa uko Machimboni😭Imagine Ndoa yetu haijatimiza hata mwaka mmoja? Maumivu ninayopitia kukupoteza sitamani mtu ayapitie😭 Natamani angenisikiliza asingeenda uko Mume wangu😭Namkumbuka mnoo kumbukumbu zake nyingi Nzuri zimejaa kichwani kwangu,Miezi kadhaa sasa imepita tangu uondoke Duniani ila naona ni kama Jana😭Bora ungeniacha na mtoto lile tabasamu lako ningekua naliangalia kwa mtoto😭Endelea kupumzika kwa Amani Ngosha wangu😭😭😭😭
2026-10-16 12:29:27
314
sofie21 :
mwaka gani iyo jamni
2026-10-16 10:54:56
25
❣Me_more22 :
Am proud of her n she's innocent!! n call me weird or whatever...I don't care .
2026-10-16 11:36:59
35
Sofia Mulasi :
As a Sisterhood I'm proud of her 🥰😂😂😂
2026-10-18 01:29:24
0
Maryam Hotai :
Dah 🥺🥺,huyu kalipiza kisasi cha racism na colonialism
2026-10-16 10:25:33
255
Fi Suleiman :
Story ya long time sana like 4 to 5 yrs..
2026-10-17 04:22:00
0
Sima💕 :
Hapoo kuna Mamboo hayaaa✌🏼
2026-10-16 11:52:22
15
sophy💕 :
Lkn walitu colonize🥹 im sarah’s side
2026-10-16 11:41:09
14
Vee modo🥰 :
Kwan watu hawaridhikag jmn
2026-10-16 11:59:53
20
T.Gallagher :
iyo story mkumbuke imesha tokea Arusha pia similar story mtoto kamfukia mama yake wa kumzaa na akasema mama kasafiri .too sad kwakel .
2026-10-16 15:25:29
7
Nemsies255 :
tumehamia nchi za nje tena kwa wazungu lahaula
2026-10-16 11:10:52
9
Miss lee Michelle :
duuuuuh maisha yake yataushia gerezani kwasbb ya tamaa ya mali
2026-10-16 10:31:15
27
Nicole❤️🦋 :
Mmmmh maisha ya sikuizi hakuna wa kumwamini walai
2026-10-16 10:22:53
10
BLack coloured skin 🌚 :
Unaelezea vizuri, unafanya wasikilizaji tunafaidika na kazi yako nzur ❤️
2026-10-16 11:55:48
11
Sherry :
oh my God
2026-10-17 06:09:27
0
Clarissa 🦋💞🦋 :
Khaaaaa
2026-10-16 10:31:26
5
MamyShark_fashion :
watu wana roho za kikatili jamani😳
2026-10-16 10:24:19
10
Officiallylolo❤️🇹🇿💵💵💰 :
Wafia Ndoa Bado wanakuwa wakali mkiwaambia
2026-10-16 12:14:17
7
zumo :
Yaaa ubaya ubwela mi nipo na mkenya 😁😁😁
2026-10-16 10:34:27
10
Billnay :
hata mm mume wangu aliniuwa akanizika kupotea ushaid ,wanaume bana🙌
2026-10-17 05:37:32
3
@ummy ima :
damu ya binaadam.haiendi bure mtu asijidanganye kuuwa jamani katu itajulikana tu
2026-10-16 21:35:43
4
Nyakamata :
ila hii dunia watu tumekuwaje
2026-10-16 10:23:42
3
sarah :
hkika uwo niunyama mbaya sana
2026-10-17 09:30:49
1
Halima :
Story ya wairimu niyakitambo
2026-10-16 19:30:20
2
IMMUDJ :
Hakuna neno tuwarizim kwenye english ni churizim/tourism
2026-10-17 05:24:43
1
To see more videos from user @waizer.it, please go to the Tikwm
homepage.