I attended ABC burial and I tel I,hao watu wako very displined
2026-10-16 18:16:28
1
cate-the blessed :
indi niki father 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 15:46:22
1
Christine official❤️❣️🥰 :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 14:13:48
1
💥💥💥 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nilituma hizi clip zako kwa group ya church pastor akanirarua block
2026-10-16 10:54:13
3
Mbithe :
unacheka yet nimesikiza hii nikaaza kulia? after watu kuabiwa watoe sadaka ya kucomfort my mum pastor alichukua zote😭Alf tukarudi tukalipia izo instruments zilikua zinatumiwa😭mind you shes a single mother with only the two of us😭bro tukoonana sua umwe
2026-10-16 16:24:43
2
Sp Muthusi :
Lakini kwetu Mathee alipewa hio pesa yote 😳. Hata huyo pastor alisema hio haitolewi hata 10%.
Si wote wakona Njaa wengine wakona kazi zao.
2026-10-16 13:21:24
7
GEOFFREY DE BLUES :
hio ni ibada pia na hakuna ibada imekamilika bila sadaka
2026-10-16 16:05:45
2
user85597072221302 :
sadaka ni ya nn Kwa mazishi
2026-10-16 11:00:03
4
Charles Munyao :
Qwa Wale Mnatoaga Sadaka Qwa Mazishi God bless you,,Mchawi akiroga Mtu Na kumuua huyo Mchawi Anakujaga Qwa hiyo Mazishi kushudia Mkutano Wake,,Watu Wengi Ufariki Wakienda Qwa Mazishi,,Mkitoa Sadaka Ni Protection kunyamazisha hiyo Roho ya kifo isiwafuate Qwa barabara Mkirudi🙏🙌
2026-10-16 18:24:31
1
Queen Tesh :
Mimi hutoa vizuri sana.
2026-10-16 16:03:39
1
kana betty :
usiongelelee mamba ya mtumushi wa mungu please
2026-10-16 19:06:31
0
Ann mwesh :
Sasa inanifanya nicheke why😂😂😂😂😂
2026-10-16 15:46:01
1
God's favourite :
🤣🤣🤣🤣🤣niue
2026-10-16 15:16:44
1
ka charles :
hata mimi nashangaa uenda wapi
2026-10-16 15:43:07
1
BBK💖 :
Bona nacheka haki😂😂😂
2026-10-16 15:59:56
1
Carolineblessings :
even in catholic church,unalipa mass na Sandaka pia wanabeba hio si poa
2026-10-16 16:15:11
2
Itz Eunice :
sio wote wakona njaa aki I remember kwa my mom's burial ilitolewa na tukapewa yote na huyo pastor tu...
2026-10-16 14:41:04
2
Winnie kapesh :
unafanya nicheke na nafaa kuzika babangu😭
2026-10-16 14:38:58
1
MaMa africa❤️💛💚🇧🇴🇧🇴 :
nilionanga catoliki nikashangaa😳😳😳
2026-10-16 12:24:43
2
it's Abby abby :
😂😂 fatherjay niue
2026-10-16 11:12:36
1
To see more videos from user @awakenedfatherjay_media, please go to the Tikwm
homepage.