Bora tuu kufagia nchi nzima wanangu so kutoa passd
2026-10-16 15:17:46
12
Rennie :
Ni password tu au kuna kingine 😂😂😂🤣
2026-10-16 13:08:16
37
@Chris_towntz :
JAMANI hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣 mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa. Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika, Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara kuna mtu katoka kigoma na baiskeli mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikuwa anatoka bariadi kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai maua sama ni kajifungua kdg hv connection chafu ya harmonize
2026-10-16 12:42:18
34
AUNT G :
mi ningetoaa alaf atajua mwenyewe[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-16 12:40:45
2
Nicomaron🫦 :
lala tu ukiamka njoo unitole password saw🤣🤣🤣
2026-10-16 15:26:00
1
Joseph Karantin :
huyu anaweza kusafisha hadi moyo ulio jaa ghadhabu🤣🤣
2026-10-16 12:16:18
26
Nasirah Sharifu :
iyo yote usitoe password
2026-10-16 11:39:55
2
"It's aziza"😎🤏 :
Sasa si utakuta kashatoa password mwenyewe😁😂😂😂😂😂
2026-10-16 14:57:15
5
chars93 :
muda si mrefu mororgoro hii hapa😁
2026-10-16 11:26:13
29
e.movie :
we zunguka ila password utatoa
2026-10-16 13:32:41
11
janeth sylivester :
utapotea rudi mwambie umeisahau😂😂😂😂😂
2026-10-16 13:33:22
1
Light Mmari :
jmn Doreen umenifurahisha🤣🤣🤣
2026-10-16 12:56:59
11
marry cate@28 :
Hy siku me nitadeki had lami to😂
2026-10-16 13:35:41
14
linha :
uwiiiiiii[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-16 10:57:09
2
my baby♥️👌 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila password
2026-10-16 12:10:30
1
shuu 🦋🌺🦫 :
Njoo mpaka mwanza😂😂😂
2026-10-16 15:11:15
2
🦋B🦋CUTE🦋💃 :
Me uwa natoa ila kitakacho mkuta atajua mwenyewe😁😁😁
2026-10-16 11:55:26
9
Joseph Mussa :
Sasa huyu 😂😂😂
2026-10-16 11:08:57
6
rajabu :
2026-10-16 13:44:22
2
AFRICANA CHiLAMWINA👣💸💸 :
bora kufika moro kabisa
2026-10-16 15:36:30
1
Leyla Issa :
naendaaaaaà
2026-10-16 14:27:36
1
Momo_B :
udiludi tena kule😂😂
2026-10-16 13:29:44
1
lulutz64 :
2026-10-16 13:34:11
1
Esther kilian :
2026-10-16 13:44:49
1
To see more videos from user @doreenperez01, please go to the Tikwm
homepage.