@bi_halima3: “Mwenye kusema: Subhānallāhi wa bihamdihī mara mia kwa siku, atasamehewa madhambi yake yote, hata kama yatakuwa mengi kama povu la bahari.” 📚 Sahih al-Bukhari, Hadithi Na. 6405 Subhānallāhi wa bihamdihī. Ametakasika Allah na sifa zote njema ni Zake. @Halima Ramadhani @Fatuma Ally